Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Nachukia wachagga ile mbaya
wewe kaa na chuki yako wao wanasonga mmbele,wapi ulisikia kuna jam ya magari kwakua watu wanaenda kusherehekea sikukuu flani??wachaga noma ndilo kabila lililo endelea kiuchumi na kielimu kuliko lote hapa nchini,siwafagilii alakini ndio ukweli wenyewe,angalia dar magari yatakavyo pungua,hakutakua na zile foleni ulizozizoea means hao wachaga ndio walio occuped mambo mengi hapa bongo,huku zoo maduka kibao yashafungwa hatakama lipo wazi alakini utasikia familia yote ipo kilimanjaro,ndege zote ziko booked.wachaga noma.tusiwaonee wizi ila iwe changamoto.jilas sio mzukaNachukia wachagga ile mbaya
wewe kaa na chuki yako wao wanasonga mmbele,wapi ulisikia kuna jam ya magari kwakua watu wanaenda kusherehekea sikukuu flani??wachaga noma ndilo kabila lililo endelea kiuchumi na kielimu kuliko lote hapa nchini,siwafagilii alakini ndio ukweli wenyewe,angalia dar magari yatakavyo pungua,hakutakua na zile foleni ulizozizoea means hao wachaga ndio walio occuped mambo mengi hapa bongo,huku zoo maduka kibao yashafungwa hatakama lipo wazi alakini utasikia familia yote ipo kilimanjaro,ndege zote ziko booked.wachaga noma.tusiwaonee wizi ila iwe changamoto.jilas sio mzuka
Kuna kundi kubwa la matrafick wametumwa Moshi na barabara kuu chalize segera mpaka Himo ,ili kuimaisha usalama wakati Akina Mangi wanarudi kwao kwa mapumziko na sikukuu za mwisho wa mwaka! Kila kabila likarudi mkoani nafikiri Dar itapumua kwa kila kitu.Nawatakieni sikukuu njema nami niko likizo.
Nachukia wachagga ile mbaya
Nachukia wachagga ile mbaya
salam mkuu,safety first
Nimepita leo Moshi nimeona mji tayari umeshaanza kuwa na foleni....naona wachaga washanza kujazana na magari yao
bila sababu!do jaribu kuondoa chuki bila sababu na hata kama ipo sababu muombe mungu akuongozeNachukia wachagga ile mbaya
kulikoni!!! walicho kukosea nini??Nachukia wachagga ile mbaya
Makupa mwenyewe Mchagga...
Nachukia wachagga ile mbaya
Nachukia wachagga ile mbaya