Trafic wa kike si bure!!

Watu bwana kwa kijifanya hawapendi mchezo wa Kap...ya! Sasa si ungewauliza majiran zako tu hapo unapofanyia kazi? Sasa unatuuliza sisi unadhan tutakwambiaje? haya Muombe namba yake then urudi hapa kama umepata au la.

si lazima uchangie na labda nikusaidie kukuombea no. yake tu labda una shida nae
 
Naona matatizo ya vijana wengi kuomba ushauri yanazidi tena hasa kwa vitu visivyokuwa na umuhimu wa kufanya hivyo. Ukiwa kama kijana unatakiwa uwe na uwezo mkubwa wa kudadisi na kuhoji vitu vingi vinavyokuzunguka. nadhani tatizo la elimu yetu kutotilia mkazo masomo ya sayansi na hisabati linaonekana sasa. Vijana mmekuwa na poor reasoning unachoambiwa wewe sawa tuu mnaniuzi sana. Mtoa mada huu ni sielewi unataka usaidiwe nini hapo kuhusiana na huyo trafiki.
 

Great thinker indeed. Mchango wako umeshiba na una uelewa wa hali juu.

Ningekuwa natumia pc ningekuongezea reputation power, but I promise I will do that.
 

kesho nitakuja na stori ya anae kumegea m...o? alafu uniambie unataka nini? samahani kwa machukizo na umejuaje kama mimi nikijana@hitimisho
 
Great thinker indeed. Mchango wako umeshiba na una uelewa wa hali juu.

Ningekuwa natumia pc ningekuongezea reputation power, but I promise I will do that.

wewe na huyo tupangieni nini cha kujadili humu ndani ili tusiwa chukize?
 

Nafikiri wewe yawezekana ndo tatizo ulikuwa kazini lakini mawazo yako yalikuwa kwenye ngono hizi ni dalili za uvivu tu. Mbona hayo maneno ya kingono huyasemi ili tupime akili zako vyema!!
 
Nafikiri wewe yawezekana ndo tatizo ulikuwa kazini lakini mawazo yako yalikuwa kwenye ngono hizi ni dalili za uvivu tu. Mbona hayo maneno ya kingono huyasemi ili tupime akili zako vyema!!

alikuja nakusema nipeni ndizi ndefu kama mb..o..o mara anaku nyanyulia upaja juu namengine mengi huwezi hamini haya nisemayo.
 
Ndugu yangu lengo langu si kupinga watu kuleta mada humu jamvini lakini nataka tulete vitu vya msingi ili hata anaechangia ajue kuwa anakusaidia kwa issue ambayo inaufaisha na kutufundisha mengi humu jamvini. Mambo mengine tumalizie huko huko mtaani. Samahani lakini kwa niliowakwaza ni mawazo tuu.....
kesho nitakuja na stori ya anae kumegea m...o? alafu uniambie unataka nini? samahani kwa machukizo na umejuaje kama mimi nikijana@hitimisho
 

kilio chako kime eleweka
 
Great thinker indeed. Mchango wako umeshiba na una uelewa wa hali juu.

Ningekuwa natumia pc ningekuongezea reputation power, but I promise I will do that.

inabidi ifikie wakati tukae kimya tusome thread za wengne
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…