Trafic wa kike si bure!!

amekutekenya umekuja kusema huku na siku akikuingiza dolee la kati kwenye kabang uje pia kutujulisha sawa baba ntilie??/

alafu mzee jieshimu akilizako zinaonekana kama za konokono nyuma kumwaga....?
 
mpe mambo......ukizubaa atakupiga d.........le!
 
traffick anahusika sana kwa hizi foleni za mjini.
Omba Mungu awe kwenye junction kama ya Pale Salender ... unapiga simu mapeema ... "bebi natoka ofisini" unapita kama Mheshimiwa

haya ngoja ni muombe huyu mungu!
 

alafu we loverbird unamambo kwele?ngoja nifanye utakavyo.
 
mbona kawaida tu hiyo
Bwana mdogo hujapitia DEPO?
mchukulie poa tu by trh way kumbuka huyo ni mwanamke achila mbali cheo chake so kama vipi gonga mzigo ila halahala Ukimwi upo usije sema sikukwambia

kumbe inaonyesha hawa matrafic wa naongoza kwa kuwa na ngoma eeee?
 
Itakuwa dushelele yako hujaikatia "Road License" ndio maana anakubonyabonya sana...
 
Anataka uwe agent wa kupokea rushwa zake
 
Watu bwana kwa kijifanya hawapendi mchezo wa Kap...ya! Sasa si ungewauliza majiran zako tu hapo unapofanyia kazi? Sasa unatuuliza sisi unadhan tutakwambiaje? haya Muombe namba yake then urudi hapa kama umepata au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…