Trafic wa kike si bure!!

amekutekenya umekuja kusema huku na siku akikuingiza dolee la kati kwenye kabang uje pia kutujulisha sawa baba ntilie??/
 
kuna mama majo traffic cpl pale magogoni fery kabila mpare ukiwa na gari anashoka kweli siku moja kanishobokea nikiwa na wife nusu niingie matatani
 
Ujinga ni kushobokewa na mtu mmoja na kufikiri wote ndivyo walivyo.
 

Hivi ni kweli hujui anamaanisha nini?
 
kesho akija nurse wa hospitali jiran na mgahawani kwenu akakuchekea naye utatuambia? be serious mkuu

Mkuu mimi nimepata wasiwasi hivi tunaelekea wapi? kwani kila kinachotokea kinaletwa JF, hizi si dharau kwa Jukwaa?
 
traffick anahusika sana kwa hizi foleni za mjini.
Omba Mungu awe kwenye junction kama ya Pale Salender ... unapiga simu mapeema ... "bebi natoka ofisini" unapita kama Mheshimiwa
 
..ana vigezo vinavyokidhi viwango vyako? Tii Kiu yako.....ukifanya vizuri atakuhakikishi kusafiri dsm kwa raha mustarehe...ukiwa mahali kama kuna foleni ukimwambia inashughulikiwa faster//////ukikamatwa na kosa la leseni..kuendesha umekunywa ...Just call her
 

mbona kawaida tu hiyo
Bwana mdogo hujapitia DEPO?
mchukulie poa tu by trh way kumbuka huyo ni mwanamke achila mbali cheo chake so kama vipi gonga mzigo ila halahala Ukimwi upo usije sema sikukwambia
 

Pumba express.
 
Tabia ya Mtu haifichwi na Kazi wala Mavazi bana ni vyema kujua hilo.
 
Anataka kukupa UKIMWI NA ALE BURE MLO KAMILI HAPO KWAKO SI unajua wenye ngoma diet kamili?
 
kuna mama majo traffic cpl pale magogoni fery kabila mpare ukiwa na gari anashoka kweli siku moja kanishobokea nikiwa na wife nusu niingie matatani

umeonae mimi nakuambia wana majanga kweli hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…