trafik mmoja......unageneralise wote...........
kajifunze kuandika VIZURI kwanza
polisi wa kike ndo neno sahihiHilo ni tatizo la mwanamke huyo ambaye ni Trafick na si tatizo la ma trafick wa kike. Kuwa muelewa kijana sio kwamba Cheo chake au kazi yake ndio inamfanya awe hivyo no bali ni tabia yake binafsi. Je ukikutana na mwanamke trafiki anakuambia maneno mazuri ya maadili utatuambia kuwa matrafik wa kike wote wanabusara. LOGIC NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.
Yaani huyo traffic wa kike akijua huu ndio uandikaji wa jamaa,anghairi mazima!
polisi wa kike ndo neno sahihi
Wewe naona umevurugwa si bure!Sasa hiki kichwa cha habari ndo wote jamani??Huyo Traffic ni binadamu kama wengine usione kavaa OG ukaona yeye ni Robot kama ujui OG kaulize!Mimi Nimekupuuza!jamani nawasalim wanaJF.wachanianze nafanya kazi kwenye mgaawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike nakuni shtu kwaku nibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila uja mara kwa mara kujipatia uduma do! mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu? ushauri jamani.
mtongoze halafu mwambie mkapime ngoma ya pu-ya-ka
heeee? kwani unazungumzia nini?@Ennie
Wewe naona umevurugwa si bure!Sasa hiki kichwa cha habari ndo wote jamani??Huyo Traffic ni binadamu kama wengine usione kavaa OG ukaona yeye ni Robot kama ujui OG kaulize!Mimi Nimekupuuza!
Akija tena anza na wewe kumshika kiuno.
Nimekusoma sasa ulivyomjibu Heaven on Earth,kumbe hata shule hujaenda! Basi hongera unajitahidi kuandika ila jifunze kuandika kwa aya na matumizi ya mkato na kituo.
Kumuelewa mtu nalo ni tatizo la kimaisha!Wewe naona umevurugwa si bure!Sasa hiki kichwa cha habari ndo wote jamani??Huyo Traffic ni binadamu kama wengine usione kavaa OG ukaona yeye ni Robot kama ujui OG kaulize!Mimi Nimekupuuza!
Umeishavurugwa unapata wapi nguvu za kuomba mchezo??tena sana tu kwani kidogo kunishika kanivuruga kila kitu kilicho baki akirudi tena niombe mch....zo?
umesha niambia sijitambui kuna nini tena? usi paniki ndugu!
Hivi bado huvaa zile sket fyupi, zinazo watega madereva?
Kumuelewa mtu nalo ni tatizo la kimaisha!
Umeishavurugwa unapata wapi nguvu za kuomba mchezo??
jamani nawasalim wanaJF.wachanianze nafanya kazi kwenye mgaawa fulani hapa mjini kama siali ya kawaida basi ni majanga kama humu JF kuna TRAFIC WA KIKE KAZI KWAKE nikiwa naendelea na kazi zangu za hapa na pale ghafla akatokea trafic wa kike nakuni shtu kwaku nibofya kwa kiuno huku akitoa lugha za kuchochea ngono cha ajabu sina mazoea nae ila uja mara kwa mara kujipatia uduma do! mpaka sasa namfikiria tu huyu trafic alifanya vile kwa lengo gani?naogopa mwisho wa siku asije shika nanini yangu? ushauri jamani.
Hahaha! Siwezi paniki mambo kama haya. Jf is a stress free place.
Ulimaanisha UJIELEWI au HUJIELEWI? angalia pia kwenye nyekundu ulimaaanisha nini?
Watu wengine huwa na shida ya kutumia herufi H kwenye Kiswahili.SAWA nimekuelewa asante kwa hutambuzi wa makosa yangu hata hapa nahisi kama nimekosea!
Rubbish