Traffic wanafanya nini MFUGALE FLYOVER?

NDUGU DARAJA LA KIGAMBONI HAKUNA CROSS YAANI NJIA NNE ZIMEKUTANA. TAZARA KUNA NJIA NNE ZILIZOKUTANA LAZIMA CHINI WAWEKE TAA
Labda kama walikosa eneo, lakini uwezekano upo wa kusanifu gari zipite kwa kuongozea na flyover , hakuna haja ya taa. Ukiweka taa, ndiyo matokeo yake unaweka na Askari.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Wameambiwa wakusanye mapato mkuu umesahau
 
Kama uko sehemu ya kilaji anzaga kuagizia mm nakuja lipia....Asante

Ova
 
Askari Wameanza Tena Kuongoza Magari Wakati Taa Zipo Na Tulidhani Askari Walitakiwa Kukaa Pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…