Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,591
- 2,383
Membe Rais wa nyumba yake sio Tanzania#KaziNaBata. #TwendeNaMembe.
Alafu hapo unaweza kuta una degree, daah tz kama imelaaniwa hivi! Mtu anauliza eti ile taarifa yao ya makusanyo mi madeni ama mapato, wakati kishasema ni makusanyo! Pole kwa kuwa na huo ubongoSio kwamba madeni mengi sana road kwenye magari na usikute hayalipiki. Na je ile taarifa yao ya makusanyo ni madeni ama mapato?
Sikubahatika kwenda shule mkuu, nieleweshe taratibu tu.Alafu hapo unaweza kuta una degree, daah tz kama imelaaniwa hivi! Mtu anauliza eti ile taarifa yao ya makusanyo mi madeni ama mapato, wakati kishasema ni makusanyo! Pole kwa kuwa na huo ubongo