Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,774
- 93,547
Umemaliza kugawa rushwa kwenye uchaguzi ndiyo unarudi home mkuu?
kama yupo kwenye dar lux au dar express ndo full laanaUmepanda bus gani Mkuu?
Happy Nation?
Hai express?
Skyline?
Machame express?
Ngorika?
Extra luxury?
Moshi Luxury?
Mbazi?
Osaka?
Ibra?
Arusha one?
KLM?
Dar express?.
Dar lux?
Chakito?
Ahadi ya Mwana CCMUmemaliza kugawa rushwa kwenye uchaguzi ndiyo unarudi home mkuu?
Hahaha CCM, kila kona mnakamatwa kwa rushwa, CCM na rusha ni maji na chura.Ahadi ya Mwana CCM
Sitatoa wala wala kupokea rushwa
Umepanda bus gani Mkuu?
Happy Nation?
Hai express?
Skyline?
Machame express?
Ngorika?
Extra luxury?
Moshi Luxury?
Mbazi?
Osaka?
Ibra?
Arusha one?
KLM?
Dar express?.
Dar lux?
Chakito?