Traffic police

Traffic police

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
hawa jamaa waliwahi kunikamata mara kadhaa kwa kosa la kumbeba abiria ambaye hajavaa kofia (helment) ya pikipiki kwa ajili ya usalama. wakalamba buku tano yangu.

But huwa najiuliza sana je wao hawatakiwi kuwa salama maana na wao huwa wanaendesha pikipiki bila hata ya kuvaa hiyo kofia yenyewe, angalia picha hii nilifanikiwa kuwabamba laive.
tena ukiangalia hiyo picha inaonyesha wamebebana kwenye pikipiki anayotakiwa isipakie abiria.
sasa cheki huyu police wa kike alivyojiweka hapo.

Huwa mara nyingi najiuliza au hizi sheria za kiusalama barabarani zinatuhusu sisi tu ambao sio police??
 
Polisi ina nguvu ya kukamata raia, lakini si kukamata askari.
Ieleweke hivyo.
 
Kuna siku nilikuwa kwenye daladala, Polisi akawa anamlazimisha kondakta amshushe sehemu ambapo hapakuwa na kituo. Nikagundua kuwa sheria si msumeno tena. Imekuwa ni one sided bushknife!!!. Tunakwenda wapi?
 
Kama baba kama mwana. Kikwete kasaini sheria ya uchaguzi halafu yeye mwenyewe ndo anasema haitekelezeki.
 
bw wee,unashangaa trafic! wabunge je!sheria wanpitisha wenyewe takukuru kuwahoji tu tayari wanahamaki! ole wao ipo siku mtoto wa paka ataona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom