Traffic Na Rushwa Sinza Mapambano

Traffic Na Rushwa Sinza Mapambano

SUYA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
131
Reaction score
21
Nimekaa hapa ki jiwekee zaidi ya masaa mawili traffic zaidi ya kumi wametanda barabarani wanalamba vichwa balaaa wakiongozwa Na mkuu wao. Jambo la ajabu sijaona gari hata moja likipelekwa kituoni au kuandikiwa notification zaidi ya kuona traffic wakizunguka nyuma ya gari Na kuchukua mshiko nasikia dau ni tsh 10000 kwa leo. Swali je hawa jamaa huwa wanatumwa hela au wanaangalia usalama barabarani?
 
ndo kawaida yao hao wana hama hama baadae utawakuta njia panda ya kawe mara bamaga mradi tu wanakula hela za watu.....mi nadhan hata wakuu wao wanakua wanajua hizo ratiba........
 
Rushwa ni sera ya serikali ya ccm hata bungeni wabunge wamesema
 
Acha kufatilia jambo lisilokuhusu sasa wewe chagua moja tukuandikie kosa ulipe 30000 au utoe 10000 uondoke zako?
 
Haaa kantangaze nafanya mpango ni upload picha maana nasikia ndio kiboko yenu
 
Nimekaa hapa ki jiwekee zaidi ya masaa mawili traffic zaidi ya kumi wametanda barabarani wanalamba vichwa balaaa wakiongozwa Na mkuu wao. Jambo la ajabu sijaona gari hata moja likipelekwa kituoni au kuandikiwa notification zaidi ya kuona traffic wakizunguka nyuma ya gari Na kuchukua mshiko nasikia dau ni tsh 10000 kwa leo. Swali je hawa jamaa huwa wanatumwa hela au wanaangalia usalama barabarani?

kila mtu anakula ofisini kwake we inakuhusu nini.
 
siku hizi huwa wanakaa na mkubwa mmoja ana kifimbo ili wakuambie mkubwa tuko nae anataka dau kubwa! Dawa yao ni kuwapiga picha wakati wanapokea kisha unaweka instagram,whatsup,facebook na twitter
 
Nimekaa hapa ki jiwekee zaidi ya masaa mawili traffic zaidi ya kumi wametanda barabarani wanalamba vichwa balaaa wakiongozwa Na mkuu wao. Jambo la ajabu sijaona gari hata moja likipelekwa kituoni au kuandikiwa notification zaidi ya kuona traffic wakizunguka nyuma ya gari Na kuchukua mshiko nasikia dau ni tsh 10000 kwa leo. Swali je hawa jamaa huwa wanatumwa hela au wanaangalia usalama barabarani?

both. plus kutumwa pia na ugumu wa maisha.
 
Nimekaa hapa ki jiwekee zaidi ya masaa mawili traffic zaidi ya kumi wametanda barabarani wanalamba vichwa balaaa wakiongozwa Na mkuu wao. Jambo la ajabu sijaona gari hata moja likipelekwa kituoni au kuandikiwa notification zaidi ya kuona traffic wakizunguka nyuma ya gari Na kuchukua mshiko nasikia dau ni tsh 10000 kwa leo. Swali je hawa jamaa huwa wanatumwa hela au wanaangalia usalama barabarani?

Tanzania yetu na njaa ya polisi wetu
 
siku hizi huwa wanakaa na mkubwa mmoja ana kifimbo ili wakuambie mkubwa tuko nae anataka dau kubwa! Dawa yao ni kuwapiga picha wakati wanapokea kisha unaweka instagram,whatsup,facebook na twitter

Today I am come from Bamaga ggoing Rombo green view. traffict man beat me the hand. I stop my kimeo. it tinted window. top tint. he come and talk me. LICENCE. CARD OF CAR. TRIANGLE AND FIRE TINGISHA. I say i have all of them. even fire tingisha is new. HE TALK. FIRE TINGISHA IS EXPIRE. i say I am not know how it expired. he talk. I write offence. by that time my wife beat him photograph from insided tinted window. he ssee flash. He know he is in hot soup. He talk me. THIS TIME I LIVE YOU BUT BUY A NEW FIRE TINGISHA. so we go. Trafficman fear photo very much. If he cometo you. beat him photo with phone. he will coward immediatelly there there.
 
umetisha ndugu yangu
 
Mbona unatudanganya wew ulizia waliojaribu kujifanya wanapiga picha wakaonwa walichofanywa,,, uongo mtupu! Yaan trafic aogope picha! Jaribu siku moja! Utakuja kuandika humu ndan kitachokukuta!
 
trafik hawana jnsi....mbona kna vigogo wanakulaa rushwa za mabilion hawafanywi chochote
 
Today I am come from Bamaga ggoing Rombo green view. traffict man beat me the hand. I stop my kimeo. it tinted window. top tint. he come and talk me. LICENCE. CARD OF CAR. TRIANGLE AND FIRE TINGISHA. I say i have all of them. even fire tingisha is new. HE TALK. FIRE TINGISHA IS EXPIRE. i say I am not know how it expired. he talk. I write offence. by that time my wife beat him photograph from insided tinted window. he ssee flash. He know he is in hot soup. He talk me. THIS TIME I LIVE YOU BUT BUY A NEW FIRE TINGISHA. so we go. Trafficman fear photo very much. If he cometo you. beat him photo with phone. he will coward immediatelly there there.
SOS

...wonderful....unaqualify kuwa MBUNGE kwa tiketi ya magamba!

ila tumekuelewa vizuri na unatisha si mchezo!
 
Mbona unatudanganya wew ulizia waliojaribu kujifanya wanapiga picha wakaonwa walichofanywa,,, uongo mtupu! Yaan trafic aogope picha! Jaribu siku moja! Utakuja kuandika humu ndan kitachokukuta!

I put here picture of traffic become coward. you want me to put or you not want ??????
 
Kila sekta imekumbwa na tatizo hili labda sector ya huduma za kiroho yaani makanisani na miskitini
 
Back
Top Bottom