Traffic na faini barabarani

evaluator

Senior Member
Feb 15, 2011
181
50
hivi jamani hawa traffic watakula hela zetu mpaka lini,kwann usitafutwe mfumo wa kuripa faini za barabarani kwa mfumo wa electronic,basi hata kama nifaini za papo kwa papo basi receipt ziwe electronically japo kupunguza huu wizi tunaofanyiwa na traffic.hata zile PDA tu zinatosha kwa kuanzia.nawasilisha.
 
Back
Top Bottom