maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,144
Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco.
Hivi mlishindwa nini kufanya magari yanayotaka kuingia ITV yakazungukie mwenge na yanayotokea it kuelekea mwenge yakazungukie Bamaga? Hata mi nawashinda jamani? Mmeshindwa hata kuiga ubungo walivyofanya kwa magari yanayotokea mawasiliano yanayozungukia ubungo?
Dah, ukifika mwenge tu kama unaelekea morocco inabidi usinzie kabisa...badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma