Traffic light za isevya Tabora ni aibu

Traffic light za isevya Tabora ni aibu

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,615
Reaction score
7,176
Jana azam media wametangaza stori kuhusu ubovu wa taa za kuongozea magari za isevya Tabora.Zimeharibika toka mwezi wa pili mwaka huu.Hii ni aibu,waziri anayehusika hebu nenda mwenyewe ukamuondoe yule meneja wa tanroads maanaajibu aliyotoa ni uzembe
 
Eti vifaa vyake vinaagizwa nje,Watu wanaagiza gari nje wiki tatu imeshafika yeye anazungumzia miezi saba na bado vifaa havijafika,ujinga mtupu
 
Eti vifaa vyake vinaagizwa nje,Watu wanaagiza gari nje wiki tatu imeshafika yeye anazungumzia miezi saba na bado vifaa havijafika,ujinga mtupu
Viongozi wa watanzania wakituangalia wananchi wao wanatuona wote ni wanzabe tu hatujielewi kwa chochote.
 
Viongozi wa watanzania wakituangalia wananchi wao wanatuona wote ni wanzabe tu hatujielewi kwa chochote.
Wajinga sana,na muda wao umeshafika maana ogopa watu wanakuona muongo halafu wanakuangalia tu
 
Hivi huyo mkuu wa mkoa wa tabora,paul chacha,si alikuwa anaahidi milioni 100 eti ile timu ya tabora ikishinda,sasa kwanini halivalii njuga suala za hizo taa?
 
Back
Top Bottom