Nimetrace pass
Kimsingi askari wa usalama barabarani huwa wanapewa target ya kupeleka hesabu maalumu makao makuu.
Let say huyo askari alipewa target ya kupeleka laki mbili kwa siku ya leo
Hivyo basi, mida kama imeenda na hesabu haijafika huwa akikukuta na kosa hakubali hata hongo ya elfu 25 kwa sababu bado ana deni la kutimiza hesabu aliyopangiwa kupeleka siku ya leo.
Siku hizi wanapangiwa makosa matano (5), kila askari wa usalama lazima ahakikishe ameandikia makosa si chini ya matano tofauti na hapo inaonekana wewe unatia mfukoni zote ndo maana wamekuwa wakali hata kwa kosa la kawaida ambalo lingestahili onyo tu utakuta anakomaa akuandikie. kibaya zaidi ile karatasi ya notification haiambatani na risiti sasa cjui zinaenda wapi
We ------ kweli
30k kitu gani bwana inanitoa roho my foot we unayo stupid
Weee elfu 30 inakutoa roho.....teh teh pole sana
Pole sana kivip?nyie ndio watu ambao hamna nidhamu ya less.kutoa 30000 bila kupangilia ni hasara ni kama wewe ukutane na mtu from no where akuombe 30000 kama utatoa.
Pole sana kivip?nyie ndio watu ambao hamna nidhamu ya less.kutoa 30000 bila kupangilia ni hasara ni kama wewe ukutane na mtu from no where akuombe 30000 kama utatoa.
Magari ya kujichukulia uani una uchungu gani. Lipa tu urudishe gari.
Weee elfu 30 inakutoa roho.....teh teh pole sana