Traffic Leo kaniotea *****

Status
Not open for further replies.

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Leo sijui Nina mkosi hebu wanasheria waje Hapa wanielimishe ninetrace pass private road huku Masaki Jamaa anataka 30,000 sasa sijui nimpe au nimwache anipeleke kituoni tu.Nimempa 10,000 amekataa kata kata na ameniandikia aisee duh
 
Ndio kosa gani hilo? hizi lugha za watu matatizo.
 
Leo sijui Nina mkosi hebu wanasheria waje Hapa wanielimishe ninetrace pass private road huku Masaki Jamaa anataka 30,000 sasa sijui nimpe au nimwache anipeleke kituoni tu.Nimempa 10,000 amekataa kata kata na ameniandikia aisee duh

sasa umeambiwa no entry wewe umepita sasa unataka nini? hebu kalipe bwana.
 
Nimetrace pass
Mkuu kama kiingereza andika tuu kwa kiingereza na kama umeamua kuandika kwa kiswahili basi andika kiswahili fasaha kuliko kuchanganya english na kiswahili katika neno moja unakuwa hueleweki.
 
Noted mkuu
 
Kimsingi askari wa usalama barabarani huwa wanapewa target ya kupeleka hesabu maalumu makao makuu.
Let say huyo askari alipewa target ya kupeleka laki mbili kwa siku ya leo
Hivyo basi, mida kama imeenda na hesabu haijafika huwa akikukuta na kosa hakubali hata hongo ya elfu 25 kwa sababu bado ana deni la kutimiza hesabu aliyopangiwa kupeleka siku ya leo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…