Tractor petrol & diesel bei 15.5 zipo Zanzibar

Tractor petrol & diesel bei 15.5 zipo Zanzibar

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Ni masey furgason 165.
Moja diesel na nyingine petrol.. Piga 0714 045 080.
 
Attachments

  • 1407252169705.jpg
    1407252169705.jpg
    71.7 KB · Views: 149
  • 1407252224427.jpg
    1407252224427.jpg
    68 KB · Views: 130
  • 1407252261437.jpg
    1407252261437.jpg
    61.4 KB · Views: 116
  • 1407252364373.jpg
    1407252364373.jpg
    65.2 KB · Views: 117
Mkuu zimetumika zanzibar au zimetoka uk direct?
Zina majembe yake?
 
mkombozi huyoooooo........kukosa hela ni shidaaa ningeipata hyo ningepeleka kitetooooo
 
Zipo yadi some where hazijatumika Zanzibar majembe hazina
 
mkombozi huyoooooo........kukosa hela ni shidaaa ningeipata hyo ningepeleka kitetooooo.ngoja wenye cash waje
 
Mrangi umenikumbusha kabla sijatapeliwa na kaka yangu Wa tumbomoja nilikua nawekeza kwenye kilimo huko Kiteto yaani wenye tractor kama huna eka kumi hawaji kukulimia yaani kwa wenye hela wanaweka bank nawaonea wivu kweli kweli...
 
mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya project yangu ya quartz panaitwa segala basi nilikuwa nakujaga hapo wakati wa kuanda mashamba nikapuga hesabu trector likikodishwa kwa mwezi ni hela nzuri....mimi sikuwa na uwezo nikaja dar nkamuzia jamaa yangu idea akaja akaona akanunua valmet fasta akalipeleka huko kimya kimya ...jamaa alitengeneza hela sana na mpka ushkaji ukaisha mimi na yeye alikuja nichunia hahahaha mm nkabaki maporini tu, ila ndiyo maisha hayo
 
Mrangi umenikumbusha kabla sijatapeliwa na kaka yangu Wa tumbomoja nilikua nawekeza kwenye kilimo huko Kiteto yaani wenye tractor kama huna eka kumi hawaji kukulimia yaani kwa wenye hela wanaweka bank nawaonea wivu kweli kweli...

wenye trector wajeuri sana maana wana uhakika na kukodishwa.....duh pole sana naona kaka alikuumiza
 
Inataka moyo saana unaweza kumutoa msukule lakini basi tena nitamsamehe nikifanikiwa..
 
Inataka moyo saana unaweza kumutoa msukule lakini basi tena nitamsamehe nikifanikiwa..

kwenye kutafuta ndiyo ilivyo mkuu ,mimi nilikuwa na ndoto kubwa ya kupeleka trector huko ila mambo hayaendi kama ninavyo panga kwa hiyo tunakubali matokeo
 
Back
Top Bottom