Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Wangezikaushia tuu, ni habari za mitandaoni
Wangezikaushia tuu, ni habari za mitandaoni
Walipe kodi tu, kama hawadaiwi poa, hakuna porojo..
Wewe mi niliisoma kutoka kwa mtu wa chadema na sio ccm hata kama aliicopy je nitasema ccm walisema?Ww ndoumeshikiwa naao wenzako mwanzo uliandikaje apo uliandia imetolewa na MTU wa chadema na si ccm sasa ivi tena unageuka eti kusambaza kuana msimamo kusambaza na kutoa nivitu viwili yofauti
Ndo usiseme ss kua yy ndo kaitoa umesoma taharifa ya uongo na ww pia unatoa taharifa ya uongo kwaiyo usimlaumu uyo uliesoma kwakeWewe mi niliisoma kutoka kwa mtu wa chadema na sio ccm hata kama aliicopy je nitasema ccm walisema?