elitehustleceo
Member
- Nov 2, 2026
- 76
- 106
Mwenye group lolote la Whatsapp aniunge lisiwe tu la video za kikubwa
0741786538
0741786538
Likiwa la video za watoto katuni je nikuunge?
Mwambie anko T
Kama ni siasa amuombe yule anajiita ntintalilah aliyemchekea kwenye uzi wake.Unataka mgroup ya vyama vya siasa
Watu mmevurugwa yani unajiunga tu group lolote
Halafu mkumbushe mchango wa kamati ni laki tano kwa kila mwanagroupKuna grup la harus la jamaa tulisoma nae sekondary nkuunge?
Niunge
Atakuwa na mapepo. Nipe namba yake nimuunge kwenye group la kisomo na maombi.Kuna sista mmoja aliniunga kwenye group la video za ngono asee kila ukifungua tu mizigo mipya na watu wanachangia nikavumilia hazikupita siku mbili nilimwambia anitoemo, akagoma nika left, cha kushangaza akaninunia hatak kunisemesha kisa nime left group lake