Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,352
- 108,471
Kule Uganda Kuna URA
Kenya kuna KRA aka Ushuru FC
Kule Uganda Kuna URA
wanayo ila haiko ligi kuu, hivyo wameona wanunue iliyo ligi kuu, na makao makuu yake yatakuwa Dsm, watakuwa wanachezea pale KMCHivi hapo nini kinakuwa kimeuzwa ikiwa kila kitu kinakuwa kipya. Hawa TRA si wangeanzisha tu timu yao?
UongoTujiandae na kuongezewa tozo lukuki
Ligi kuu hii michezo haipoDuuh Mechi za mwanzoni hapo wanaweza kuuza Mechi watakavyo.Timu za ligi kuu waongee nao vizuri😀😀
Money laundry projectsHii ni namna ya kutafuta upigaji tuu. Ngoja tujipe muda Kila kitu kitakuwa hadharani.
Kama Hii ni Kweli basi Yale ya NHIF kutaka Kufilisika yataikuta Nchi.. TRA inayohusika kukusanya inaanza Kutumia Makusanyo tena Kwenye Kuwekeza Tena Kwenye Timu zetu hizi ambazo namba 1 na Namba Mbili Lazima Awe Yanga au Simba tu miaka nenda RudiClub ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam
Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki mpya na Timu kubadilishwa jina rasmi pamoja na Anwani
Kilichotokea kwa Ihefu , kimewapitia pia Nyuki wa Tabora
ahDuuh Mechi za mwanzoni hapo wanaweza kuuza Mechi watakavyo.Timu za ligi kuu waongee nao vizuri😀😀