Tetesi: TRA yainunua Klabu ya Tabora United

Tetesi: TRA yainunua Klabu ya Tabora United

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,958
Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam

Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki mpya na Timu kubadilishwa jina rasmi pamoja na Anwani

Kilichotokea kwa Ihefu , kimewapitia pia Nyuki wa Tabora
 
Usikute ni abdul mtoto wa saa100🤣🤣
20250823_092627.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom