TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

Leo kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Rais kuhusiana na makinikia.

TRA imeitumia taarifa Acacia inayoonyesha inadaiwa Tsh 425.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017.

Je kuna mazungumzo tena?

========
Receipt of Tax Assessments
24 Jul 2017

THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION

Acacia notes that Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”) and Pangea Minerals Limited (“PML”), the owners and operators of the Bulyanhulu and Buzwagi mines, respectively, have today received a series of Notices of Adjusted Assessment (the “Assessments”) from the Tanzania Revenue Authority (“TRA”) for historical corporate income tax, covering the periods 2000 to 2017 for BMGL and 2007 to 2017 for PML. The Assessments are issued in respect of alleged under-declared export revenues, and appear to follow on from the findings of the First Presidential Committee announced on 24 May 2017 and the Second Presidential Committee announced on 12 June 2017. As we have stated previously, Acacia refutes each set of findings and re-iterates that it has fully declared all revenues. We have yet to receive copies of the reports issued by the First and Second Presidential Committees. The allegations made by the First and Second Committee are included in the matters that both BGML and PML have already referred to international arbitration.

The Assessments assert that BGML owes the Government a total of approximately US$154 billion, and PML approximately US$36 billion. The Assessments claim a total of approximately US$40 billion of alleged unpaid taxes and approximately US$150 billion of penalties and interest owed. Acacia disputes these assessments. The Company is considering all of its options and rights and will provide a further update in due course.

View attachment 549449

Chanzo: Press Release Item
Duh!
 
Tanzania!!!! Ni nchi ambayo ina katiba inayoamini Socialism ila haieleweki ideology yake halisi ni ipi adi sasa.

Cha ajabu inataka kujaribu kutingisha makalio ya mmbeberu, na bora angekuwa bepari...

Are we really going to get paid $ 190 billions?!
Magu ataandika historia duniani walahi
 
Tuache usanii bana, walikua wapi miaka yote?? au ndio muvi inaendelea??

Unaambiwa Mkapa na Kikwete walikuwa hawafanyi kazi, wao walikuwa wapiga dili tu. Kwa kweli katiba yetu inabidi ipitiwe upya ili hawa marais wakamatwe na tuwanyonge, it's not fair kuwa wako tu wanatucheka na kututukana kuwa sie ni wajinga eti kwa kuwa hatulilii katiba ibadirishwe ili wanyogwe.
 
Salaam Mr. Omari. Nimepokea wito wako wa mimi kutoa maoni yangu kwenye suala hili.

Usheria wa maoni yangu utategemea na tafsiri ya msomaji.

Maoni yangu:

Mambo ambayo wachangiaji mbalimbali wanakubaliana kuhusu sakata hili:

1. Kwamba madini na mchanga husika vilikuwa mali ya watanzania (exclusively) kabla ya mikataba mbalimbali ya uchimbaji kusainiwa.

2. Kwamba baada ya mikataba kusainiwa haki za umiliki na matumizi ya madini na mchanga tajwa zinaelezewa na mikataba sainiwa.

3. Mikataba sainiwa ilionekana na inaonekana kuufaidisha zaidi upande wa wawekezaji kuliko upande wa watanzania.

4. Mbali na mikataba mibovu bado kuna ufisadi katika kutekeleza mikataba hiyo mibovu. Yaani kuna mafisadi ambao wanafanya uovu zaidi ya uovu uliopo kwenye mikataba.

5. Kwamba mafisadi hao wanatoka pande zote mbili, upande wa wawekezaji na upande wa watanzania.

Jambo bishaniwa:

"Utaratibu gani utumike kushughulikia hali elezwa hapo juu? ".

Mtazamo wa kwanza (first school of thought):

1. Watanzania wajitoe kwenye mikataba kandamizi ya kimataifa ambayo yaweza kutumiwa kutetea mikataba mibovu ya uchimbaji madini tuliyo saini.

2. Mikataba kuhusu uchimbaji madini iliyo sainiwa ifumuliwe upya kwani ni chanzo cha tatizo.

3. Itengenezwe na isainiwe mikataba mipya itakayo linda vyema maslahi ya pande zote mbili, hasa upande unao onekana kuonewa (upande wa watanzania).

Mtazamo huu unaunga mkono dhana ya means justify the ends.

Mtizamo wa pili (second school of thought).

Watanzania wameibiwa muda mrefu. Sheria zimetumika kuwaibia, ni muda mwafaka kwa 'political will' kuchukuwa nafasi ili kurekebisha mambo. After all watanzania wameichagua Serikali hii ili itatue changamoto zao na hii ni moja ya changamoto kubwa. Tusifungwe ki hivyo na historia. Haijalishi nini kinafanyika, cha msingi watanzania wafaidike inavyo paswa kama wadau wa msingi kwenye sekta ya madini.

Mtazamo huu unaunga mkono dhana ya ends justify the means.

Mtazamo wa tatu (third school of thought):

Mtazamo huu una harmonise mitazamo miwili hapo juu. Kwamba, mbinu za kisheria zitumiwe sambamba na mbinu za kisiasa. Yaani mchakato wa mtazamo wa kwanza ufanyike ila pia mchakato wa mtazamo wa pili ufanyike. Huu unaweza kusema ni mtazamo wa kadri. Mrengo wa kati.

Hoja za mtazamo huu:

1. Huwezi kuwarudisha wawekezaji kwenye meza ya majadiliano kama wana option (s). Yaani kama wawekezaji wakigundua wewe unaheshimu sheria ambazo kimsingi zinatokana na mfumo wanaoudhibiti watakataa kuja kwenye majadiliano. Watakacho kifanya ni kuwekeza kwenye sheria na kukuzuia kubadilisha mikataba kwa mbinu za kisheria na mwisho kutumia mfumo na hofu yako kukufanya uone mambo hayawezekani. Kumbuka wanaamini sana kwenye corruption na mbinu chafu.

2. Hofu ni ufunguo wa mifuko ya matajiri (James Hardley Chase). Ukifanikiwa kujenga hofu kwa matajiri hao (wawekezaji) watakubali kukaa nawe. Kimsingi ni kama kusema tufanye wanacho fanya wao. Kucheza rafu bila ya kuwa na hofu na tukijitahidi hofu iwatafune wao.

Ukikimbizwa na ukagundua huna pa kukimbilia ni vyema ukageuka na kuanza kumfuata anaye kukimbiza. Hufanyi hivi kwa sababu unanguvu au ujasiri unafanya hivi ili anaye kukimbiza pia ajitathmini, ajue huna option zaidi ya kumkabili, ajue ni busara kutokimbizana, ajue hata wewe unaweza kumsababishia madhara. Ajipange kutafuta amani.

Kwenye mchezo ambao timu pinzani inacheza rafu, usipo cheza rafu utaumia tu.

3. Tuwachezee pia rafu kwa kufuata sheria kimakini ila kwa kuwaonesha wazi kwamba hata wakitushinda kisheria tupo tayari kutokufuata sheria kwa maslahi ya nchi. Kutokufuata sheria wakati mwingine ni mbinu za kupata sheria zenye kujali haki.

Asante Mr. Omari kwa kunijongesha. Mimi ninaunga mkono mtazamo wa tatu. Kazi njema.

By Dalali George M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acacia lost another 6.6% (about 30 m GBP) share value today. I have gone short for this stock, i expect it to be lower than 100 in the next two weeks. If no agreement have been found with Tanzania Government.

You don't seem to understand attitude, mentality and psychology of investors. Investors normally don't like uncertainty. If they are not sure they sell their stocks they don't buy share in any company which is in limbo.

Therefore Acacia share will continue to slide until

1.) They reach agreement with Tanzania government. It means negotiate with Tanzania Government to be allowed to keep their Tanzanian assets and pay some fine much lower than 190bn usd. They can only afford to pay around 1bn usd. Even that they will need to find a loan from parent company, issue new shares or taken over by another bigger company.

2.) Write off their Tanzania assets which are most profitable to them and comprises about 50% of their assets. This will automatically devalue their share price.

3.) Take Tanzania government to court, Now incourt they might win or lose. Even if they win Tanzania government might appeal or to higher court. The whole process will takes years, by time the case finish the company will be out of stock markets.

4.) Tanzania government and Acacia might try to find a neutral investigator to investigate the 277 containers in now in Dar Harbour to find out who is telling the truth. If they find out Tanzania government is right, that Acacia were under declaring the amount of gold and other precious metals they ship to Europe, they will have to pay fine and compensation which will cripple the company. If they find they Acacia were right then they will receive their 277 containers and compensation which will boost price of their shares.

Personally i doubt very much if they search those 277 containers they will found Acacia were right. I accept that Tanzania government have over exaggerate the amount. But may be they want to send a signal to all companies which operate in Tanzania. That you have to do things rights way and stop messing about.

By the way i don't support any party. This is just neutral observation.
Sometimes you find there is a tycoon behindw ants to buy shares of this co, so is lobbing with Tz govt that he can acquire shares for lower price. Then after the matter will be settled.
 
Leo kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Rais kuhusiana na makinikia.

TRA imeitumia taarifa Acacia inayoonyesha inadaiwa Tsh 425.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017.

Je kuna mazungumzo tena?

========
Receipt of Tax Assessments
24 Jul 2017

THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION

Acacia notes that Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”) and Pangea Minerals Limited (“PML”), the owners and operators of the Bulyanhulu and Buzwagi mines, respectively, have today received a series of Notices of Adjusted Assessment (the “Assessments”) from the Tanzania Revenue Authority (“TRA”) for historical corporate income tax, covering the periods 2000 to 2017 for BMGL and 2007 to 2017 for PML. The Assessments are issued in respect of alleged under-declared export revenues, and appear to follow on from the findings of the First Presidential Committee announced on 24 May 2017 and the Second Presidential Committee announced on 12 June 2017. As we have stated previously, Acacia refutes each set of findings and re-iterates that it has fully declared all revenues. We have yet to receive copies of the reports issued by the First and Second Presidential Committees. The allegations made by the First and Second Committee are included in the matters that both BGML and PML have already referred to international arbitration.

The Assessments assert that BGML owes the Government a total of approximately US$154 billion, and PML approximately US$36 billion. The Assessments claim a total of approximately US$40 billion of alleged unpaid taxes and approximately US$150 billion of penalties and interest owed. Acacia disputes these assessments. The Company is considering all of its options and rights and will provide a further update in due course.

View attachment 549449

Chanzo: Press Release Item
Huu mtifuano si wa kitoto. Ngoja tusubiri tuone kama waropokaji watashinda au la!
 
Duh nchi yetu kazi sana kwahyo if lisu is wrong automatically serikali ipo sahihi???? Duh kaz kwelikweli kma serikali ipo sahihi always mbona 40% ya watanzania hawana maji kabisa!!!! 40% hawana umeme kabisa!! Bajeti hutekelezeka mpaka 10% kwa wizara zingine lakini ni hao hao serikali ambao huwasilisha bajeti bungeni na kina lisu huipinga ila hakuna mwaka bajeti imetekelezeka kulingana na malengo then unatuaminisha the government is always right kisa lisu is wrong kuhusu VAT kwenye utalii??? Ndio reasoning ya wapi hii
nashukuru kwa mchango wako chief!!!.tatizo linapoanzia sio lisu,linaanza kwenye upinzani,yaani kwa maneno yanavyoongelewa utadhani ni ya kweli. swali langu ni kwa nn?.kila serikali inapofanya jambo na wao wanaibuka na kuipinga?.kwani wapinzani hawawezi kuanzisha mada za taifa.Kauli ya RAISI NI KAULI YA SERIKALI SAWAA!!.VP KUHUSU KAULI YA AKINA LISU NA MBOWE ,NI KAULI YA AKINA NANI? "Utasikia muwanyime misaada,mkiwashitaki nitawasaidia". na mengine maneno yasio na furaha kwa nchi yetu kama hayo.
 
Ok mkuu ni hivi duniani kote vyama vya upinzani vipo kma MUANGALIZI wa shughuli za serikali hivyo wanatakiwa wakeep track ya uwajibikaji wa serikali kwa kuibua mambo ambayo serikali haijayaona, kuikosoa na kushauri ili waweze kufanya kazi kwa ufasaha zaidi na ndio maana vinaitwa vyama mbadala yaani upinzani ni serikali mbadala hivyo dunia nzima serikali inapotoa kauli lazma SERIKALI MBADALA na yenyewe itoe kauli ili kuwapa watu walinganishe je serikali kuu na serikali kivuli ipi ingeshughulikia swala hili vizuri ili uchaguzi unaofuata wafanye mamuzi sahihi wakati wa kura

Mfano bungeni mpango anapowaslisha bajeti pia mdee huwa anawasilisha bajeti kivuli

Magufuli alipoteua mawaziri pia mbowe akateua baraza kivuli

Kwenye miswada huwa serikali na kamati ikipeleka mapendekezo ya marekebisho kwenye muswada husika basi pia upinzani wanapewa nafasi kuwasilisha maoni yao ili watu wapime je SERIKALI KUU na KIVULI ipi inafaa kichaua uchaguzi ujao!!!!

Hivyo kwa upinzani ni lazna kwa kila hoja kma ilivyo bungeni basi hata huku nje ni lazma wafuatilie kwa umakini kila kauli na hoja ya serikali ili kutoa picha kwa watanzania kuwa UPINZANI UNGEKUWA NA MADARAKA ndio ungeshughulikia suala hilo kwa namna hyo wanayopendekeza!!! hivyo kukaa kimya kutaua maana nzima ya upinzani

Umesena hatuibui hoja mpya labda nikuulize!!!

Je Umeshawahi pitia ilani ya uchaguzi ya chadema/ukawa??

Je Umeshapitia hotuba za kambi ya upinzani kwa wizara mbali mbali bungeni???

Je umewahi pitia bajeti kivuli ya upinzani??

Kama bado je kwanni usipitie moja baada ya nyingine na naweza kukuforwadia pdf kwa email yako ili ukasome na uone hoja mbadala zinzotolewa humo mfano bajeti ya kivuli iliibuni source mpya za mapato kma 4 hivi ili kuinua mapato ya serikali kwa ajili ya kufund bajeti!!! Hivyo SI KWELI kwamba hatuibui hoja otherwise sahivi ni kwamba hakuna mikutano ya kisiasa ndio maana labda hausikii zile mbwembwe za 2010-2015 ila ikiruhusiwa hizo hoja zilizopo kwenye bajeti kivuli na hotuba za kambi ya upinzani/baraza kivuli zitazungumzwa hadharani na ndio utayasikia kwa uzuri zaidi ila kma hoja juzi tu bunge pa bajeti mnyika aliibua hoja ya ufisadi kwenye uagizaji mafuta ila ndo ivo alisemea bungeni no one aliona hta wwe hukusikia!!!!

Hivyo ni heri mkuu upitie hizo document ndio utaona hoja mbadala na kuhusu kupinga hoja za serikali badala ya kuibua zao nmeshasema ni jukumu la upinzani kucheck on the govt yaani wakikohoa tu wenyewe wanatakiwa waamke kujibu

Ahsante
 
Leo kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Rais kuhusiana na makinikia.

TRA imeitumia taarifa Acacia inayoonyesha inadaiwa Tsh 425.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017.

Je kuna mazungumzo tena?

========
Receipt of Tax Assessments
24 Jul 2017

THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION

Acacia notes that Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”) and Pangea Minerals Limited (“PML”), the owners and operators of the Bulyanhulu and Buzwagi mines, respectively, have today received a series of Notices of Adjusted Assessment (the “Assessments”) from the Tanzania Revenue Authority (“TRA”) for historical corporate income tax, covering the periods 2000 to 2017 for BMGL and 2007 to 2017 for PML. The Assessments are issued in respect of alleged under-declared export revenues, and appear to follow on from the findings of the First Presidential Committee announced on 24 May 2017 and the Second Presidential Committee announced on 12 June 2017. As we have stated previously, Acacia refutes each set of findings and re-iterates that it has fully declared all revenues. We have yet to receive copies of the reports issued by the First and Second Presidential Committees. The allegations made by the First and Second Committee are included in the matters that both BGML and PML have already referred to international arbitration.

The Assessments assert that BGML owes the Government a total of approximately US$154 billion, and PML approximately US$36 billion. The Assessments claim a total of approximately US$40 billion of alleged unpaid taxes and approximately US$150 billion of penalties and interest owed. Acacia disputes these assessments. The Company is considering all of its options and rights and will provide a further update in due course.

View attachment 549449

Chanzo: Press Release Item
Mimi sioni tatizo kwani mwisho wa siku, accacia watukuja na hesabu zao na kufanya reconciliation na TRA na baada ya hapo ndipo hali halisi itajulikana kama kweli hawa jamaa walikwepa kulipa kodi. Hili siyo jambo la ajabu kwani makampuni mengi ambayo hesabu zao zimekuwa na utata yamekuwa yakifanyiwa hivyo na mwisho wa siku wana reconcile baas.
 
Ok mkuu ni hivi duniani kote vyama vya upinzani vipo kma MUANGALIZI wa shughuli za serikali hivyo wanatakiwa wakeep track ya uwajibikaji wa serikali kwa kuibua mambo ambayo serikali haijayaona, kuikosoa na kushauri ili waweze kufanya kazi kwa ufasaha zaidi na ndio maana vinaitwa vyama mbadala yaani upinzani ni serikali mbadala hivyo dunia nzima serikali inapotoa kauli lazma SERIKALI MBADALA na yenyewe itoe kauli ili kuwapa watu walinganishe je serikali kuu na serikali kivuli ipi ingeshughulikia swala hili vizuri ili uchaguzi unaofuata wafanye mamuzi sahihi wakati wa kura

Mfano bungeni mpango anapowaslisha bajeti pia mdee huwa anawasilisha bajeti kivuli

Magufuli alipoteua mawaziri pia mbowe akateua baraza kivuli

Kwenye miswada huwa serikali na kamati ikipeleka mapendekezo ya marekebisho kwenye muswada husika basi pia upinzani wanapewa nafasi kuwasilisha maoni yao ili watu wapime je SERIKALI KUU na KIVULI ipi inafaa kichaua uchaguzi ujao!!!!

Hivyo kwa upinzani ni lazna kwa kila hoja kma ilivyo bungeni basi hata huku nje ni lazma wafuatilie kwa umakini kila kauli na hoja ya serikali ili kutoa picha kwa watanzania kuwa UPINZANI UNGEKUWA NA MADARAKA ndio ungeshughulikia suala hilo kwa namna hyo wanayopendekeza!!! hivyo kukaa kimya kutaua maana nzima ya upinzani

Umesena hatuibui hoja mpya labda nikuulize!!!

Je Umeshawahi pitia ilani ya uchaguzi ya chadema/ukawa??

Je Umeshapitia hotuba za kambi ya upinzani kwa wizara mbali mbali bungeni???

Je umewahi pitia bajeti kivuli ya upinzani??

Kama bado je kwanni usipitie moja baada ya nyingine na naweza kukuforwadia pdf kwa email yako ili ukasome na uone hoja mbadala zinzotolewa humo mfano bajeti ya kivuli iliibuni source mpya za mapato kma 4 hivi ili kuinua mapato ya serikali kwa ajili ya kufund bajeti!!! Hivyo SI KWELI kwamba hatuibui hoja otherwise sahivi ni kwamba hakuna mikutano ya kisiasa ndio maana labda hausikii zile mbwembwe za 2010-2015 ila ikiruhusiwa hizo hoja zilizopo kwenye bajeti kivuli na hotuba za kambi ya upinzani/baraza kivuli zitazungumzwa hadharani na ndio utayasikia kwa uzuri zaidi ila kma hoja juzi tu bunge pa bajeti mnyika aliibua hoja ya ufisadi kwenye uagizaji mafuta ila ndo ivo alisemea bungeni no one aliona hta wwe hukusikia!!!!

Hivyo ni heri mkuu upitie hizo document ndio utaona hoja mbadala na kuhusu kupinga hoja za serikali badala ya kuibua zao nmeshasema ni jukumu la upinzani kucheck on the govt yaani wakikohoa tu wenyewe wanatakiwa waamke kujibu

Ahsante
NASHUKURU SANA CHIEF!.KWANZA KWA LUGHA NZURI NA YENYE HEKIMA ULIOTUMIA KUNIELIMISHA.BY THE WAY INAWEZA KUWA FUNZO KWA WENGINE KUIGA MFANO WAKO.ACHA NIPITIE KWANZA THEN NIKUTAFUTE.ILA NILIFIKISHA MAONI YANGU KAMA NINAVYOYAONA.ASATE SANA TENA SANA NA KARIBU TUENDELEZE GHURUDUMU LA MAENDELEO
 
Pamoja sana mkuu..... heshima kwako
 
Hata Mwana FA kadai bilioni 2: mdaiwa chochote huambiwa akijitetea tutapata wala trilion 30 siyo haba. Unayepinga tu hivi wewe ni mcanada?
 
Back
Top Bottom