TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

Nimeishia kucheka tu

Kampuni haijasajiliwa ila inapokea assessment ya kodi. Kampuni hewa ila TRA wana data zake!!!!!!!!...
Ilitakiwa ucheke baada ya kujiridhisha kuwa kweli TRA wamepeleka madai ya kodi kwa ACACIA ama la. Sasa hivi si unachekwa sasa!
 
Wadau please,nataka kujua net worth ya barrick gold corporation wamiliki wa acacia,shukrani

The net worth (Market Capitalization) of Barrick Gold is 16.5 biilions US dollar as of today.
ABX: Summary for Barrick Gold Corporation - Yahoo Finance

Thamani ya Acacia Mining ni 667 millions British Pounds (870 millions USD) today
acacia mining total market capitalisation - Google Search

Leo Acacia wamepoteza 10% (67 millions GBP) of their value so far and 40% over the last five days. It is matter of time before this company become almost worthless.
 
Nenda kwenye website ya acacia ujionee mwenyewe.

Kumbe humu JF unaweza jikuta unabishana na watoto wa secondary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acacia Mining rejects $190bn Tanzanian tax bill - BBC News


Accessibility links

Skip to contentAccessibility Help

Sign in

BBC navigation

HomeNewsMore

Search

News navigation

Sections

Business

Acacia Mining rejects $190bn Tanzanian tax bill

1 hour ago

Share this with Facebook

Share this with Twitter Share

Image copyrightACACIA MINING

Gold miner Acacia has been hit with a demand for $190bn in unpaid taxes to Tanzanian authorities in a row it has called "inaccurate and unexplainable".

The demand follows a finding by government-appointed committees that the firm was operating illegally and had understated its gold exports.

Acacia's website says that it has declared all materials produced and has paid royalties and taxes in full.

The UK-listed firm's shares were down 7.7% in morning trade in London.

Its share price has been tumbling for months as disagreements with the Tanzanian authorities have grown.

Earlier this month, Tanzania passed two new mining laws that contain sweeping changes to the legal and regulatory framework of the mining industry.

An export ban on gold and copper concentrate exports has been in force since March.

Acacia, which is majority-owned by Canadian firm Barrick Gold, has said the continuation of the ban will hurt its ability to conduct future business in Tanzania, since it covers 50% of its production.

"The security of the 36,200 indirect and induced jobs that rely on Acacia's mining operations, as well as the company's ability to invest in education, infrastructure and health projects will all be under threat."

The bill consists of $40bn in alleged unpaid taxes and a further $150bn of penalties and interest owed.

Acacia operates three gold mines in Tanzania: in Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara.

In a response to the authorities in May, Acacia said that if their allegations about its gold production were true, the firm would be producing more from its three mines than rival companies managed to extract from a far larger number of mines.

The changes to Tanzania's mining industry are the brainchild of President John Magufuli, who has been in office since 2015 after being elected on an anti-corruption platform.

In his previous role as minister of works, he earned the nickname of "the Bulldozer" for his determination to implement a road-building programme.

Analysts have been sympathetic to Acacia's case, with Investec noting that the basic $40bn tax bill "is more than twice what all top five global gold miners (including Barrick) combined have paid in taxes since 2000".




Utu ni mwema.
 
Mbona mnapotosha? Waliotaarifiwa ukwepaji kodi ni Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”) and Pangea Minerals Limited (“PML”). ACACIA hatuwatambui. Muelewe hivyo.

You are right JITEGEMEE, Acacia Mining ambayo iko kwenye London Stock Exchange wanamiliki BGML and PML. Acacia pia wana migodi nchi nyingine Kama Kenya, Burkina Faso na Mali. Lakini migodi yao ya Tanzania ndiyo inayowapa 90% ya Gold yao.

Barrick Gold wanamiliki 63.9% of Acacia wenyewe wana migodi nchi 10 na ndiyo kampuni kubwa kuliko zote zinazochimba gold duniani.
 
Tigo nao karibu watalipa 2.5bn kwa kosa walilofanya zamani tu, kipindi hivyo mapato yao yalikuwa ya kishikaji sana, Tatizo sisi watanzania tunajua sana
 
Aliyenunua cheni katoa hela bandia na alieuza cheni katoa cheni Bandia aya mambo ya madini nimagumu sana unaweza kununua chupa lenye mzigo feki ukatoka ndukii unashangilia ukafika nyumbani kufunguandani kuna kokoto unabaki kama zuzu kilaukijiangalia kwenye kioo unajiuliza hivi ni mimi niliyepigwa au ni nimwingine dah tuwaachie akina Katunzi na papa msofe




 

If you have ever invested on anything, you know that now is the time to buy Acacia shares when share prices are declining and because Acacia is likely to successfully show that most of the government accusations are false.
 
Mkuu Acacia sio public company.turudi shule kidogo tuone tofauti ya public and private companies.
Private limited is a fully owned company by group of promoters.All shares of the company are in private hands.
In public limited company,which is in fact public ltd,who's owners are public,and shares are open to any one to buy,and sell and keep it.Maximum share holder runs the company,as per company laws.
Mkuu baada ya defination hizo,unaweza kwenda kwa undani ukajua number of shares,individuals wanaoform private na limited.Henceforth Acacia ni PRIVATE COMPANY NA SIO PUBLIC COMPANY.
 
Siku litakapolipwa hilo deni, nadhani baada ya mwaka TZ itakuwa zaidi ya U.S.A.
 
Wewe ni muongo usiongopee watu hakuna kitu kama hicho ndege iliyokua inatua pale ni dash 8 design ya bombadier ndipo serikali mkawakataza saivi vinatua vi chattle madini yanabebwa kwa helcopter acha uongo
 
unachoongea ni kweli mkuu,kunaweza kuwa na mapungufu sekta zote tra na hao wanasiasa wanao pinga hayo maamuzi "ILA NAAMINI SANA UPANDE WA SERIKALI KWA SABABU,HAO HAO AKINA LISU WALITUAMINISHA WAGENI WAMEPUNGUA KWENYE UTALII,BUT WHAT HAPPEN " Sasa kwa sie tusio na taaluma inabidi tu relay kwa serikali kwa hio simple fact.
 
Watanzania Ni waoga wanashindwa kujiamini kuwa Tanzania inazalisha gold nyingi kuliko south Africa hivyo Ni haki nchi ikidai $ billions sio $millions .
hizo takwimu za kusema Ni nchi ya 4 sio ya kwanza zinaweza kutengenezwa vilevile( kwa lugha nyingine Ni hewa).
bila kuwa mkali utaibiwa kila kitu
 
TRA walikuepo na hao majambazi walikuepo kwa hiyo hawana Elimu ya kutambua tunaibiwa kweli TRA mnawasumbua wauza viberiti wanaochukua dhahabu bure wanawaambia wamepata hasara miaka yote mnakubali tuu...
 
The value of acacia today is approxinated $980 million.
So $190billion equals to the total market value of the top 206 gold mine companies in the world, and if you combine the value of Acacia and Barrick you can get about $20 billion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ume analyze vizuri ila Ninashaka na ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…