TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

Nimeishia kucheka tu

Kampuni haijasajiliwa ila inapokea assessment ya kodi. Kampuni hewa ila TRA wana data zake!!!!!!!!...
Ilitakiwa ucheke baada ya kujiridhisha kuwa kweli TRA wamepeleka madai ya kodi kwa ACACIA ama la. Sasa hivi si unachekwa sasa!
 
Wadau please,nataka kujua net worth ya barrick gold corporation wamiliki wa acacia,shukrani

The net worth (Market Capitalization) of Barrick Gold is 16.5 biilions US dollar as of today.
ABX: Summary for Barrick Gold Corporation - Yahoo Finance

Thamani ya Acacia Mining ni 667 millions British Pounds (870 millions USD) today
acacia mining total market capitalisation - Google Search

Leo Acacia wamepoteza 10% (67 millions GBP) of their value so far and 40% over the last five days. It is matter of time before this company become almost worthless.
 
Aliyepewa notice ni Buly na Buzwagi. Notice haikutumwa Acacia London. Jamaa wa Barrick alisikitika Acacia kutokuwa sehemu ya negotiations. Sasa unaongelea Acacia gani?

Sometimes it important to stop living in the world of fantasy....and come to the world of reality.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye website ya acacia ujionee mwenyewe.

Kumbe humu JF unaweza jikuta unabishana na watoto wa secondary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acacia Mining rejects $190bn Tanzanian tax bill - BBC News


Accessibility links

Skip to contentAccessibility Help

Sign in

BBC navigation

HomeNewsMore

Search

News navigation

Sections

Business

Acacia Mining rejects $190bn Tanzanian tax bill

1 hour ago

Share this with Facebook

Share this with Twitter Share

Image copyrightACACIA MINING

Gold miner Acacia has been hit with a demand for $190bn in unpaid taxes to Tanzanian authorities in a row it has called "inaccurate and unexplainable".

The demand follows a finding by government-appointed committees that the firm was operating illegally and had understated its gold exports.

Acacia's website says that it has declared all materials produced and has paid royalties and taxes in full.

The UK-listed firm's shares were down 7.7% in morning trade in London.

Its share price has been tumbling for months as disagreements with the Tanzanian authorities have grown.

Earlier this month, Tanzania passed two new mining laws that contain sweeping changes to the legal and regulatory framework of the mining industry.

An export ban on gold and copper concentrate exports has been in force since March.

Acacia, which is majority-owned by Canadian firm Barrick Gold, has said the continuation of the ban will hurt its ability to conduct future business in Tanzania, since it covers 50% of its production.

"The security of the 36,200 indirect and induced jobs that rely on Acacia's mining operations, as well as the company's ability to invest in education, infrastructure and health projects will all be under threat."

The bill consists of $40bn in alleged unpaid taxes and a further $150bn of penalties and interest owed.

Acacia operates three gold mines in Tanzania: in Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara.

In a response to the authorities in May, Acacia said that if their allegations about its gold production were true, the firm would be producing more from its three mines than rival companies managed to extract from a far larger number of mines.

The changes to Tanzania's mining industry are the brainchild of President John Magufuli, who has been in office since 2015 after being elected on an anti-corruption platform.

In his previous role as minister of works, he earned the nickname of "the Bulldozer" for his determination to implement a road-building programme.

Analysts have been sympathetic to Acacia's case, with Investec noting that the basic $40bn tax bill "is more than twice what all top five global gold miners (including Barrick) combined have paid in taxes since 2000".




Utu ni mwema.
 
Mbona mnapotosha? Waliotaarifiwa ukwepaji kodi ni Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”) and Pangea Minerals Limited (“PML”). ACACIA hatuwatambui. Muelewe hivyo.

You are right JITEGEMEE, Acacia Mining ambayo iko kwenye London Stock Exchange wanamiliki BGML and PML. Acacia pia wana migodi nchi nyingine Kama Kenya, Burkina Faso na Mali. Lakini migodi yao ya Tanzania ndiyo inayowapa 90% ya Gold yao.

Barrick Gold wanamiliki 63.9% of Acacia wenyewe wana migodi nchi 10 na ndiyo kampuni kubwa kuliko zote zinazochimba gold duniani.
 
Tigo nao karibu watalipa 2.5bn kwa kosa walilofanya zamani tu, kipindi hivyo mapato yao yalikuwa ya kishikaji sana, Tatizo sisi watanzania tunajua sana
 
Aliyenunua cheni katoa hela bandia na alieuza cheni katoa cheni Bandia aya mambo ya madini nimagumu sana unaweza kununua chupa lenye mzigo feki ukatoka ndukii unashangilia ukafika nyumbani kufunguandani kuna kokoto unabaki kama zuzu kilaukijiangalia kwenye kioo unajiuliza hivi ni mimi niliyepigwa au ni nimwingine dah tuwaachie akina Katunzi na papa msofe




Kutangaza kwamba tumeibiwa kiasi hicho ni aibu, harafu Mwizi unamwomba aje mzungumze.

Jamani tuache Siasa, Mikataba mibovu tumesaini, Sheria mbovu tumetunga, Hivi walio Saini hiyo Mikataba na kutunga Sheria mbovu tunawaachaje?

Yaani wizi wa Tirioni 508 tunauongelea kama tumeibiwa Buku? kwanza huu wizi upo kweli au Siasa tu, unajua hapa napata wasiwasi, Kama kweli wizi huu upo harafu tunauongelea kwenye majukwaa ya Siasa napata wasiwasi sana.

Kama Raisi anania ya kuikomboa Nchi hii, asibague Wezi, Mwizi ni mwizi haijarishi alishakuwa nani Nchi hii, na ukibagua huwezi kupata Chanzo cha Wizi, Kama Wizi Mkubwa kama huu ulifanyika na Maraisi walikuwepo, Mawaziri walikuwepo, Makatibu wakuu walikuwepo, Wanasheria walikuwepo, kwanini uhangaike na Mwizi mwenyewe pekeyake? cha ajabu Mwizi huyu ana Document anaonyesha na kusema mimi sijaiba, unamwachaje aliyempa hizo Document?

Kama TRA kweli wanadai Kodi yote hii walikuwa wapi? Yani Mgodi haulipi Kodi miaka zaidi 18? kweli? na mmewezaje kujua kama Kodi mnadai kiasi hicho wakati mlisema hawajasajiriwa? Mwizi anajulikana vipi kaiba kiasi hicho bila kupitisha Mzigo alioiba mikononi mwenu?

Kati ya Serikali na ACACIA nani Mwizi? mbona mbona naona kama kuna umoja hapa wa kuiba?

Serikali na ACACIA wote ni wezi ila naona wamedhurumiana sio bure.
tutajua tu mwisho.

maana kila kesho kunaibuka Movie mpya.
 
The net worth (Market Capitalization) of Barrick Gold is 16.5 biilions US dollar as of today.
ABX: Summary for Barrick Gold Corporation - Yahoo Finance

Thamani ya Acacia Mining ni 667 millions British Pounds (870 millions USD) today
acacia mining total market capitalisation - Google Search

Leo Acacia wamepoteza 10% (67 millions GBP) of their value so far and 40% over the last five days. It is matter of time before this company become almost worthless.

If you have ever invested on anything, you know that now is the time to buy Acacia shares when share prices are declining and because Acacia is likely to successfully show that most of the government accusations are false.
 
naludia tena kusema ACACIA IS PUBLIC COMPANY. Mkuu public company haina maana inamilikiwa na serikali fulani bali ni namba ya share holder ndiyo inaweza ifanya kuwa public au private. soma types of company google. na siyo ubishe tu. na ndiyo maana unaweza nunua share hata wewe ukihitaji.
Mkuu Acacia sio public company.turudi shule kidogo tuone tofauti ya public and private companies.
Private limited is a fully owned company by group of promoters.All shares of the company are in private hands.
In public limited company,which is in fact public ltd,who's owners are public,and shares are open to any one to buy,and sell and keep it.Maximum share holder runs the company,as per company laws.
Mkuu baada ya defination hizo,unaweza kwenda kwa undani ukajua number of shares,individuals wanaoform private na limited.Henceforth Acacia ni PRIVATE COMPANY NA SIO PUBLIC COMPANY.
 
Siku litakapolipwa hilo deni, nadhani baada ya mwaka TZ itakuwa zaidi ya U.S.A.
 
Niamini ndugu yangu. Haya niliyosema niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu nilipotembelea mgodi wa BGM miaka kadhaa iliyopita. Hiyo runway ya ndege iliyopo mgodini hapo ni ndefu kuliko ile ya Dar (JNIA). Hayo ma cargo planes ya Urusi ni makubwa mithiri godown kubwa na hufunguliwa kwa nyuma. Huruka moja kwa moja toka ulaya hadi BGM bila kutua sehemu ye yote. Yakishajazwa dhahabu huruka moja kwa moja hadi kwenye migodi yao ya DRC kujaza mafuta na baada ya hapo huruka direct hadi ulaya. Yalikuwa ni madege manne kwa siku. Yaani nilikuta limoja linajazwa mawe ya dhahabu likiwa limefunuliwa mlango wake wa nyuma, na dege jingine la aina hiyo hiyo likiwa lime park uwanjani hapo likisubiri zamu yake kujazwa dhahabu!

Wazungu wa mgodi huo hawana makazi mgodini hapo. Wao makazi yao yako Dar es Salaam maeneo ya uzunguni (Osterbay, Masaki na sehemu kama hizo). Huja mgodini kwa kutumia ndege zao za jet engines ambazo idadi yake haipungui 5 na hutumia saa moja tu toka Dar hadi kwenye mgodi wao wa BGM. Yaani akitoka Dar saa 1 asubuhi by saa 2 asubuhi anakuwa yuko mgodini. Hutoka mgodini saa 12 jioni na by saa moja usiku wanakuwa wako nyumbani kwao Dar!!. Pale mgodini hukaa ma surbodinates wao tu ambao ni watanzania wenzetu waliopewa kazi ya kulinda masilahi ya hawa wenye migodi ikiwa ni pamoja na kuwa spokesmen wao kama wanavyofanya humu mitandaoni na sehemu zingine. Huu ndiyo ukweli. Tanzania ina dhahabu nyingi sana. Hata ile inayovunwa tu na wachimbaji wadogo wadogo tungekuwa tuna utaratibu wa kuikusanya pamoja ingeweza jaza dege moja la aina hiyo kwa siku.
Wewe ni muongo usiongopee watu hakuna kitu kama hicho ndege iliyokua inatua pale ni dash 8 design ya bombadier ndipo serikali mkawakataza saivi vinatua vi chattle madini yanabebwa kwa helcopter acha uongo
 
Siasa imeingilia taaluma. Inahuzunisha lakini wajinga wanamshangilia.

Watu hawaelewi hii inaharibu vipi uchumi kwenye sekta ya uwekezaji.

Taasisi kama TRA inategemewa kuwa objective kwenye makadirio ya kodi kwa kutumia taaluma na si siasa.

Leo Kamishna anaweka taaluma pembeni kufurahisha mwanasiasa. Kuna mwekezaji atakuja? Hao waliopo watabaki?

Ni suala la muda tu ila uchumi wa nchi unaenda kuanguka. Visingizo vitakuwa vilevile mabepari wanatukwamisha kama Zimbabwe na Venezuela.

Wajinga wanamshangilia.
unachoongea ni kweli mkuu,kunaweza kuwa na mapungufu sekta zote tra na hao wanasiasa wanao pinga hayo maamuzi "ILA NAAMINI SANA UPANDE WA SERIKALI KWA SABABU,HAO HAO AKINA LISU WALITUAMINISHA WAGENI WAMEPUNGUA KWENYE UTALII,BUT WHAT HAPPEN " Sasa kwa sie tusio na taaluma inabidi tu relay kwa serikali kwa hio simple fact.
 
Watanzania Ni waoga wanashindwa kujiamini kuwa Tanzania inazalisha gold nyingi kuliko south Africa hivyo Ni haki nchi ikidai $ billions sio $millions .
hizo takwimu za kusema Ni nchi ya 4 sio ya kwanza zinaweza kutengenezwa vilevile( kwa lugha nyingine Ni hewa).
bila kuwa mkali utaibiwa kila kitu
 
TRA walikuepo na hao majambazi walikuepo kwa hiyo hawana Elimu ya kutambua tunaibiwa kweli TRA mnawasumbua wauza viberiti wanaochukua dhahabu bure wanawaambia wamepata hasara miaka yote mnakubali tuu...
 
The value of acacia today is approxinated $980 million.
So $190billion equals to the total market value of the top 206 gold mine companies in the world, and if you combine the value of Acacia and Barrick you can get about $20 billion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishia kucheka tu

Kampuni haijasajiliwa ila inapokea assessment ya kodi. Kampuni hewa ila TRA wana data zake!!!!!!!!

Report ya kamati ya Rais inasema wanadaiwa $108b, TRA nao wanasema kutokana na iyo report ni $204b. Whichi is which?????????????

Kinachoniuma hapa ni kuwa watz tunapumbazwa na propaganda za makinikia wakati kitu pure kinapaa na ndege. Kama kuibiwa ni kweli tumeibiwa na tunaendelea kuibiwa kwa hisani ya usanii wa CCM.

$204billion ni kama 420trilion Tsh. Hii ni budget ya TZ miaka 15. Kama walikuwa wanalipa kodi isiyozidi 15% inamaana hawa jamaa walikuwa wametengeneza zaidi ya $900 billion from Tanzania ndani ya miaka 17. Na hapa acacia ni branch tu ya Barrick. Hii pesa tungekuwa tunalipwa, hivyo basi kodi ya Acacia ingetosheleza kufinance budget yetu ya miaka 17 iliyopita. Yani Watanzania tungekuwa hatulipi kodi wala kuomba mkopo. Yan ni kupokea kodi tu toka acacia na sisi tungekula tu bata. Pia usisahau kuna Migodi mingine mikubwa kama ishirini.
8db4829c43c06d8b06ad4fe19c6f3bf2.jpg


Kumbuka pia acacia ni moja tu ya Gold mine company in Tanzania. Kuna mgodi mikubwa unaomilikiwa na AngloGold& Ashant kama bonge la openi pit lile la "Geita Gold Mine(GGM)' lililoanza operation toka mwaka 2000. Kwa pesa tunayowadai acacia, kama Geita Gold mine nao wangekuwa wanalipa kodi iyo, bac Tanzania ingekuwa na uwezo wa kupokea zaidi ya $10billion kutoka katika iyo migodi miwili tu. Hata budget yetu tungekuwa tunaongelea zaidi ya Trillion 50 kwa mwaka.

Ki uhalisia, GGM kodi yao haifiki $300m kwa mwaka. Nakumbuka mwaka 2015 GGM walivyopandishiwa kodi kufikia 4% kwa mraba kulikuwa na utata kidogo maana ilikuwa walipe karibu $200m kwa mwamka ila acacia ndyo waliokuwa wakwanza kukubali kulipa ndipo GGM na wengine wakafyata mkia.

Sasa kama GGM kodi yao haifiki $300m, inakuaje Acacia ndyo wanatakiwa kulipa mara 20 yake kwa mwaka? Yani zaidi ya $4b kwa mwaka na hapo bado penalty!!!!!!!!!!

Labda ACACIA uzalishaji wao ni mkubwa kuzidi GGM, Ila probable gold reserves and other resources katika migodi mitatu ya acacia(north Mara, buzwagi na bulyanhulu) haizidi 22m oz. Na average production per year haizidi 700,000 oz per year kutoka kwenye migodi mitatu. Geita gold mine mwaka 2015 iliweza vunja record na kuzalisha 527,000 oz of gold. Ambapo kodi ilikuwa around $200m.

Ikiwa kweli acacia wanatuibia na iyo ndyo pesa wanayopaswa kutulipa, basi hata na GGM wanatuibia sana sambamba na migodi mingine.

466349f6eb07d7cc7646bff5abb4c811.jpg


Tanzania ni nchi ya 4 duniani kwa kuzalisha Gold. Tanzania imekuwa ikizalisha Gold yenye value isiyozidi $1.5billion kwa mwaka. Ila kwa kodi tu tunayoidai acacia ni kuwa mgodi mmoja uliweza kutoa gold yenye thamani zaidi ya $70billion kwa mwaka.

South Africa NI nchi inayoongoza katika uzalishaji wa Gold. Lakini haijawai zalisha gold yenye value inayofikia $4billion kwa mwaka. Kwa maana hiyo, kwa data wanazotumia TRA, Tanzania inabidi ndyo iwe nchi inayoongoza uzalishaji wa gold na ipewe Guiness Award kwa kuvunja record ya kuzalisha Gold nyingi kiasi kuwa hata dunia nzima haikuwai zalisha.

Inabidi ifikie atua watu wazima waache kufanya maigizo ya kitoto aseeee. Watanzania sio wajinga to that extent. Huwezi badili million kuwa billion kirahisi hivyo.


Siku acacia wakilipa hata 10% ya ilo deni, mimi nitatembea uchi toka kibiti hadi kariakoo. I swear.

Sent using Jamii Forums mobile app
ume analyze vizuri ila Ninashaka na ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom