mkeyamasai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 383
- 153
Ni kweli chuo hakimbebi mtu .lakini kumbuka tra post zao nying ni kwa watu waliosoma biashara na hiko chuo chenyewe kimebase kwenye mambo ya biashara labda ndio sababu wanaamini mtu akitoka pale anakua anamaarifa sana.lkn nashangaa hawa watu wanachuo chao au bado wanafunzi hawajahitimu .cjawaelewa hapo na hii habari haina ukweli wowoteacha mbwembwe content ndio inayo amua unafikiri chuo kitakubeba cku wanaangalia unajua nin sio umesoma wapi na umepata ngapi
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa
Yani waache kuchukua vipanga wa udsm,mzumbe,ifm,tia na Iaa..wakachukue watu wanaosomea mambo ya ushirika?
Mimi naona wengi watatokea dit...dah ajira imekuwa ngumu hadi watu wanalia wamesoma chuo gani???Nafasi za kazi zilizotangazwa na TRA watakachukuliwa kutoka chuo cha Moshi
Nafasi za kazi zilizotangazwa na TRA watakachukuliwa kutoka chuo cha Moshi
rank ya chuo ni ya ngapi ukiwamfuatilia kama unafahamu huwa haionyeshi uwezo wa wahitimu mbali inaangalia ktk umaamurufu wa chuo kwa ukongwe wake, ukubwa wake, uwingi wa programa, umarufu wa website ya chuo kidogo kuna wengine wameenda mbele kidogo wamejaribu kuangalia uhalisia wa program inayotolewa na chuo kwa mahitaji ya jamii ya sasa lkn sio uwezo wa wahitimu kama unavyofikiria nenda kasome kwa umakini tena hzo top 100 inaangalia vitu gani kama hawajaelezea vigezo wanayoangalia ujua hyo data ni fekiunajua wewe ulieleta huu uzi unaakili za kizee sana. we unafikiri kusoma chuo flani ndio candidate anakua na sifa zaidi...sasa kwa taarifa yako hata hapa tz muccobs haiko kwenye top 50 ya vyuo
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa