Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,111
- 2,748
Nchii hii kuendelea mpaka Mungu aamueTRA, TIC, BRELA, Halmashauri na taasisi zingine zinazohusika na utoaji wa vibali na usimamizi ni shida kubwa sanaa
Siku watakapokosa stahiki zao sababu ya poor performance ndio wataelewa hiki wanacholalamikiwa kila siku
Halafu kuna mashetani wa CCM wanafurahiaTRA Mwenge wametembeza barua nyingi sana kwa jina la audit. Watu wanapigwa hela ndefu kimya kimya. Yaani ni balaa. Unaletewa 400M muamze maongezi, mwisho wa siku mtu anafika 50m mtu anatia mfukoni maisha yanaendelea
Mtakuwa mnabadilisha Wakuu mpaka kiama, Utitiri wa Kodi kubwa na Matozo yasioishaAna Mkuu mpya mpeni muda mrefuuu.. aje ayajue yanayojiri.. na akiyaweza..
Kazi iendeleee
Bro, hadi nawao cha moto wanakiona. TRA siyo mchezo. Wanaliza watu. TRA wanaumiza. Wanakuja kwa Gia ya ukaguzi baada ya hapo kihama......Kodi zaidi ya mtaji wakoHalafu kuna mashetani wa CCM wanafurahia
Nchii hii kuendelea mpaka Mungu aamue
TRA, ni kati ya taasisi ambazo ni adui wa maendeleo ya Tanzania na watanzania.Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.
Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.
View attachment 1790810
Huyu Mheshimiwa anaweza akawa haelewi kodi na namna ya kulitatua hili au Mamlaka ya TRA wanadai kodi ambayo si halali either kwa makusudi au kwakuwa hawana taarifa sahihi za mlipa kodi wao. Audit inapofanyika, TRA hutumia evidence walizonazo kutoa makadirio kama watakuwa wamekukagua. Wewe jukumu lako ni kujitetea kuwa TRA hamkupitia kitu moja mbili tatu wakati mnaandaa hesabu zenu. Una nafasi ya kufanya hivyo ndani ya siku 30 (siku za pingamizi kama ulikaguliwa na wakatoa assessment). Huyu kapewa nahisi ni Demand Notice. Ambayo unaijibu ndani ya Muda waliokupangia au unaomba Muda wa kujibu.Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.
Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.
View attachment 1790810
Hii mamlaka ni rubbish, sijui wenzetu nchi zilizoendelea wanafanyaje! Mbona Tanzania inalalamikiwa sana hivi sana tena kwa kila agencyTRA Mwenge wametembeza barua nyingi sana kwa jina la audit. Watu wanapigwa hela ndefu kimya kimya. Yaani ni balaa. Unaletewa 400M muamze maongezi, mwisho wa siku mtu anafika 50m mtu anatia mfukoni maisha yanaendelea
Je kiwango cha uadilifu cha hao unaojadiliana nao kinapimwa kwa chombo gani? Ni panel gani inajadiliana na huyo mteja chini ya uangalizi wa nani, kinacholalamikiwa TRA ni watu wachache wajanjawajanja, nadhani ipo haja awepo Mkurugenzi wa majadiliano, ambaye atafanya kazi hiyo na panel maalumu kwa uwazi tena katika chumba maalumu na majadiliano yawe recordedWewe jukumu lako ni kujitetea kuwa TRA hamkupitia kitu moja mbili tatu wakati mnaandaa hesabu zenu. Una nafasi ya kufanya hivyo ndani ya siku 30 (siku za pingamizi kama ulikaguliwa na wakatoa assessment). Huyu kapewa nahisi ni Demand Notice. Ambayo unaijibu ndani ya Muda waliokupangia au unaomba Muda wa kujibu
Ile kauli ya Mother... kuwa tutayumba kidogo kwenye mapato... lakini baadae tutakaa vizuri..... Hayo ndio matokeo yake......Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.
Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.
View attachment 1790810