TRA wanavyomjaribu Rais Samia Suluhu

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.

Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.

Screenshot 2021-05-18 at 22.07.44.png
 
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.

Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.

View attachment 1790810
TRA, ni kati ya taasisi ambazo ni adui wa maendeleo ya Tanzania na watanzania.

Ifikie wakati, intelligent people waende wakafanye kazi TRA.
 
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.

Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.

View attachment 1790810
Huyu Mheshimiwa anaweza akawa haelewi kodi na namna ya kulitatua hili au Mamlaka ya TRA wanadai kodi ambayo si halali either kwa makusudi au kwakuwa hawana taarifa sahihi za mlipa kodi wao. Audit inapofanyika, TRA hutumia evidence walizonazo kutoa makadirio kama watakuwa wamekukagua. Wewe jukumu lako ni kujitetea kuwa TRA hamkupitia kitu moja mbili tatu wakati mnaandaa hesabu zenu. Una nafasi ya kufanya hivyo ndani ya siku 30 (siku za pingamizi kama ulikaguliwa na wakatoa assessment). Huyu kapewa nahisi ni Demand Notice. Ambayo unaijibu ndani ya Muda waliokupangia au unaomba Muda wa kujibu.

Ukionewa unaweka pingamizi kwa Commissioner, Commissioner akikuonea unaenda Tax Revenue Appeals Board (TRAB), inatoa maamuzi, ukionewa unaenda TRAT (Tax Revenue Appeals Tribunal) ukionewa na hapo unaenda Mahakamani.

Pia kuna muda watu hawajui Sheria ndio maana wanajikuta wanapigwa kodi kubwa. Mimi nilikuwa na mteja wangu mmoja wa Oil and Gas nikiwa Consultant wa Kampuni fulani alipigwa Kodi 9billion mpaka nikaduwaa.

Tukapambana tukaweka vielelezo akaishia kulipa Million 230 tu.

Jamani huko TRA weledi ni Mdogo sana wa Watendaji lakini pia kuna Tatizo la Walipa kodi kutokujua Sheria.

Natamani Siku humu ndani nifunguke kuhusu Kodi, Changamoto zake na Pia Madhaifu ya TRA na Madhaifu ya Walipa kodi na Ninyi cha Kufanya.

Mkiniruhusu naweza weka Uzi mmoja wa hayo yote hapa. Ila pia mwenye Maswali ya kodi ananiuliza hapa (nisiyoyajua naenda kuwataftieni majibu). Ahsanteni.
 
TRA Mwenge wametembeza barua nyingi sana kwa jina la audit. Watu wanapigwa hela ndefu kimya kimya. Yaani ni balaa. Unaletewa 400M muamze maongezi, mwisho wa siku mtu anafika 50m mtu anatia mfukoni maisha yanaendelea
Hii mamlaka ni rubbish, sijui wenzetu nchi zilizoendelea wanafanyaje! Mbona Tanzania inalalamikiwa sana hivi sana tena kwa kila agency
 
Wewe jukumu lako ni kujitetea kuwa TRA hamkupitia kitu moja mbili tatu wakati mnaandaa hesabu zenu. Una nafasi ya kufanya hivyo ndani ya siku 30 (siku za pingamizi kama ulikaguliwa na wakatoa assessment). Huyu kapewa nahisi ni Demand Notice. Ambayo unaijibu ndani ya Muda waliokupangia au unaomba Muda wa kujibu
Je kiwango cha uadilifu cha hao unaojadiliana nao kinapimwa kwa chombo gani? Ni panel gani inajadiliana na huyo mteja chini ya uangalizi wa nani, kinacholalamikiwa TRA ni watu wachache wajanjawajanja, nadhani ipo haja awepo Mkurugenzi wa majadiliano, ambaye atafanya kazi hiyo na panel maalumu kwa uwazi tena katika chumba maalumu na majadiliano yawe recorded
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom