Nashauri; TRA wachunguzwe juu ya uhalali wa kodi zao. Kesi zimekuwa nyingi siku za hivi karibuni
Kwa hiyo sasa hivi bora kuajiriwa tu, si ndio?
Fotex tu mzee babaUshauri: Mtu yeyote asifanye biashara yenye mkono/uhusiano wa TRA wala kusajiliwa na TRA.
Inabidi pawe na uzi wa orodha ya biashara mbalimbali ambazo hazihusiani na TRA wala ukiifanya hiyo biashara hauhitajiki kusajiliwa na TRA.
Ni kweli mkuu.Ili swala ni shida Tanzania, ukienda kwenye sheria zetu taxable person ni biashara zenye turnover ya tsh 100+ million ndio lazima kujiunga. Sure such organisation surely use accountants vinginevyo nikijitafutia matatizo.
Ina maana wafanyabiashara wadogo kujiunga ni voluntary, sasa kwanini tunaona kwenye channel yao ya tube wanaangaika na hawa watu.
Isitoshe bila ya hata wao kujiunga serikali aitakiwi kupoteza mapato ya VAT kwa sababu wafanyabiashara wadogo wanakuwa final consumers na wao awatakiwi ku charge tena. Labda kama kukimbizana nao iwe kwenye kodi ya faida (profit tax na P.A.Y.E) which are much more to compute for non accountants.
Ata pale watu wanapoamua ku register voluntary ili wawe kwenye system (uhalisia ni kwamba wengi wanalazimishwa ukiangalia video za TRA) awafundishwi namna ya ulipaji mfumo ni upi cash accounting au accrual accounting.
Kumbukumbu zipi unatakiwa kutunza na kwa muda gani, kuna swala la wafanyabiashara wadogo kuelewa VAT wanazotakiwa kutoza kutokana rate zake ambazo mara huwa kuna mabadiliko fulani yanatokea kwenye budget ya kila mwaka.
Ni hivi kama wewe ni mfanyabiashara mdogo na umesajiliwa as taxable person (voluntary) you are better off using an EDF machine to help calculate your output taxes and keep your resits to claim the input taxes.
The general solution ni kwamba ni wakati sasa wa Tanzania kuwa na tax services za kusaidia hizi biashara I do not see why qualified ACCA accounts don’t see this opportunity which is presenting itself.
Mkuu yamewakuta wafanyabiashara wengi.Na serikali sikivu iko kimya.
Hata waziri wa sasa Nd Mwambe alivyokuwa TIC alilieleza tatizo wazi kabisa lakini serkali hailifanyii kazi.
Tax base inazidi kupungua na ni dhahiri matokeo yake ni kodi kupungua.
Seikali sikuvu-kimya!
Mada zingine zipo juu ya uwezo wakoKama unadaiwa kalipe tu siyo unalia lia JF.
Mbona unakuwa mgumu kuelewa kuwa hiyo hela haipo!Lipeni kodi acheni blah blah
Umachinga, kiaUshauri: Mtu yeyote asifanye biashara yenye mkono/uhusiano wa TRA wala kusajiliwa na TRA.
Inabidi pawe na uzi wa orodha ya biashara mbalimbali ambazo hazihusiani na TRA wala ukiifanya hiyo biashara hauhitajiki kusajiliwa na TRA.
Ni tatizo imagine kwa sheria zetu mfanyabiashara mwenye mauzo ya kuanzia 8.33 million kwa mwezi tena awe anauza taxable products/service (hiyo ndio inakuwa 100 million kwa mwaka) na ndio wanatakiwa wajiunge na VAT scheme chini ya hapo sio lazima.Ni kweli mkuu.
Tatizo ni kwamba wafanyabiashara wengi hazijui haki zao kutokana na kutoelewa sheria. Na wafanyakazi wengi tu TRA hawazijui sheria za kodi.
Umachinga, kitambulisho elfu 20 mwa mwakaUshauri: Mtu yeyote asifanye biashara yenye mkono/uhusiano wa TRA wala kusajiliwa na TRA.
Inabidi pawe na uzi wa orodha ya biashara mbalimbali ambazo hazihusiani na TRA wala ukiifanya hiyo biashara hauhitajiki kusajiliwa na TRA.
KUna kodi hazilipikiKama unadaiwa kalipe tu siyo unalia lia JF.
Nashauri; TRA wachunguzwe juu ya uhalali wa kodi zao. Kesi zimekuwa nyingi siku za hivi karibuni.
Uongo na stori za kwenye kahawa ,zitakufikisha wapi??Nani wa kuwachunguza wakati wametumwa kufanya wanachofanya!