Elimu ya mlapa kodi ipite kwa wafanyabiashara wote na TRA waache kufanya kazi kwa kufukua makaburi waige mfano wa Zanzibar ZRA kwa kuendelea walipo kwenda mbele pasipo kumdhulumu mtuNimefuatilia maelezo yako mwanzo Hadi nimepata kitu.
Unawashauri Nini wafanyabiashara kuhusu Mambo ya kuzingatia ili kupunguza masononeko na Hawa TRA.
Ujui lolote,Get an accountant have no time to entertain meaningless discussions.
Hivi wewe unajua kodi kweli mbona vitu basic unataka kubishana pasipo msingi, halafu mimi sipo kubishana, msingi wa huu uzi ni kueleweshana.Am shocked!
Mkuu uko off na ni Tax Consultant!
Hili kosa TRA wanalifanya sana.
I can live with that, lakini inapofikia hatua mtu anakuuliza inakuwaje pale retailer anaponunua kwa supplier ambae ajasajiliwa, wakati ushaambiwa dirisha la kujisajili na VAT kwa lazima ni pale mauzo yako yanapozidi 8.33 million kwa mwezi.Ujui lolote,
Nimewaambia humu ndani wafanyabiashara wa Tz ni mambumbumbu wa kodi, ukifuatilia michango yao humu ndani utajua pia wafanyabiashara ni sehemu ya tatizoTatizo lenu ni kujijengea dhana potofu. Hakuna mambo ya kwenye vitabu kwenye accounts it’s just how things work.
Usipokuwa registered still utanunua kwa supplier ambae atakutoza input tax, same na yule aliejisajili.
Tofauti yenu aliejisajili anaweza idai input tax, wewe uwezi.
Kwa ivyo kwenye kuuza aliejisajili anatoa input tax 18% aliyolipia kwenye kununua baada ya hapo anaongeza faida yake kwenye bidhaa then ana charge 18% output VAT.
Usipojisali uwezi uwezi toa 18% input VAT kwa ivyo utaongeza profit margin zako on top of that; ngoma draw na aliejisajili kwenye bei zenu.
The only way utakuwa much cheaper ni kama bidhaa zako unapotoa ujalipa output tax.
Tatizo lenu ni ujuaji TRA ni tatizo atukatai but ignorance is also a contributing factor kwa wafanya biashara.
Unaonekana una ufahamu ata wa booking keeping (ledger), sasa sijui record zako unatunza vipi zikiwemo VAT records ili ujue mwisho wa mwaka jamaa unawadai au wanakudai.
Kabisa tatizo lao ujuaji sana.Nimewaambia humu ndani wafanyabiashara wa Tz ni mambumbumbu wa kodi, ukifuatilia michango yao humu ndani utajua pia wafanyabiashara ni sehemu ya tatizo
Nyie wafanyabiashara mnafurahisha sana, sasa hapo nimeshindwa kukokotoa nini, mnajifanya mnajua kumbe hamna kituHawezi kuwa na utaalam wowote huyo “Tax Consultant”.
Kamawezi kukokotoa msingi wa WHT basi hafai hata kuwa katikaindustry ya consultancy, arudi shule.
Wanajifanya wanajua kumbe ni sifuri, now nipo nafanya kazi ya kampuni ya wai-Iran, wanasema wao ni NGO, nikawauliza mna charitable status kutoka kwa Commissioner General, wanasema bado ila walisha-apply,nikawaambia kama bado hajajibu basi kisheria nyie ni NGO ila kwa jicho la TRA nyie ni wafanyabiashara kwa wafanyabiashara wengine, wakashtuka.hawajawahi ku-file provisional return tokea waanzishwe miaka 3 iliyopita. hawajawahi kufany vitu kibao mpaka nataka niache hii kaziKabisa tatizo lao ujuaji sana.
Huu uzi mzuri sana.Nyie wafanyabiashara mnafurahisha sana, sasa hapo nimeshindwa kukokotoa nini, mnajifanya mnajua kumbe hamna kitu
Mentality ya ukomoaji, kwa watu walio na vichwa vizito.Kabisa tatizo lao ujuaji sana.
Ila ukiniita mimi kilaza mtaalamu atakuwa nani sasa? Wewe lete hoja yoyote ya kodi tuongee, withholding tax tu inawasumbua, halafu mkipigwa penalty na interest na TRA mnaanza kulialiaHuu uzi mzuri sana.
Unawaibua vilaza, masquerading as Tax Consultants.
No wonder sekta ya kodi kuna vilio.
Mawazo haya ndo wanayo watumishi wa TRA. Wako supplier wengi sana ambao hawafikishi hiyo threshold. Ingefaa umiliki hata genge uweze kupata real experience on how we do business in Tanzania. Kinyume na hapo huo u-consultant wenu hautakuwa na tofauti na umesenjaI can live with that, lakini inapofikia hatua mtu anakuuliza inakuwaje pale retailer anaponunua kwa supplier ambae ajasajiliwa, wakati ushaambiwa dirisha la kujisajili na VAT kwa lazima ni pale mauzo yako yanapozidi 8.33 million kwa mwezi.
TRA wanataka baada ya miezi sita kama mauzo yako yanavuka hiyo average ujiunge sio ombi tena kwa mfanyabiashara unapokuwa na turnover hiyo.
Sasa supplier gani ambae anauza kwa jumla jumla afikishi hiyo threshold? It’s just common sense, I have my limits too on level of ignorance which I can tolerate; vinginevyo inakuwa kufanya kazi ya kutwanga maji kwenye kinu.
TRA wametumwa kodi , wamepewa kazi ya kusimamia sheria za kodi ,kama hau-comply ni ujinga wako sio kosa Lao.Mentality ya ukomoaji, kwa watu walio na vichwa vizito.
Hii ndiyo mifano hai.
Biashara zitaendekeaje?
Well legal status ya organisation yoyote inasajiliwa Brella that far I know. Kibali cha ku operate kama charity kinatolewa sijui na wizara ya fedha or TRA sina uhakika kutokana na sheria ya kodi ya mwaka 2008, ila naona msisitizo wa wengi ni TRA.Wanajifanya wanajua kumbe ni sifuri, now nipo nafanya kazi ya kampuni ya wai-Iran, wanasema wao ni NGO, nikawauliza mna charitable status kutoka kwa Commissioner General, wanasema bado ila walisha-apply,nikawaambia kama bado hajajibu basi kisheria nyie ni NGO ila kwa jicho la TRA nyie ni wafanyabiashara kwa wafanyabiashara wengine, wakashtuka.hawajawahi ku-file provisional return tokea waanzishwe miaka 3 iliyopita. hawajawahi kufany vitu kibao mpaka nataka niache hii kazi
Huyo jamaa sio mstaarabu ata uulizaji wake ni waujuaji.Mentality ya ukomoaji, kwa watu walio na vichwa vizito.
Hii ndiyo mifano hai.
Biashara zitaendekeaje?
Use accountants to balance vinginevyo wanakuwa kama sitting ducks.Nimefuatilia maelezo yako mwanzo Hadi nimepata kitu.
Unawashauri Nini wafanyabiashara kuhusu Mambo ya kuzingatia ili kupunguza masononeko na Hawa TRA.
Ingependeza Kama mkuu watahalam wa wambo ya kodi wengeanzisha uzi mahalum kuhusu elimu ya kodi ,maana kweli wenda watu wanapigwa na TRA kutoka a na uelewa ndogo,Use accountants to balance vinginevyo wanakuwa kama sitting ducks.
Na accountants nao inabidi wawe entreprenuers charges zao ziwe reasonable hasa kwa wafanyabiashara wadogo still watakuwa na uwezo wa kutengeneza hela nzuri tu.
Pumbav weweTRA wametumwa kodi , wamepewa kazi ya kusimamia sheria za kodi ,kama hau-comply ni ujinga wako sio kosa Lao.
Chuo cha kodi kinatoa kozi za kodi hata kwa form 4 failure ,hamtaki kwenda.
Mimi nashangaa mtu anaposema TRA wanaonea wafanyabiashara, wewe na TRA mnaongozwa na sheria za kodi, mkishindwana kuna tribunals mpaka court of appeal.
Upande wangu TRA ya Tz haipo serious sana kukusanya kodi ,imekuwa inawalea sana wafanyabiashara wazembe sababu ya kujuana
Shule ya st.Jude ni wapumbavu kama wafanyabiashara wengine, hawataki ku-comply na sheria za kodi, wanaishia kuleta mambo yao mitandaoni ili wapate public sympathy. Court of appeal imewaruhusu TRA wakombe hela kwenye akaunti baada ya rufaa kushindikana wanasema wanaonewa.TRA wamesimamia hukumu ya Court kwamba wachukue hela.Pumbav wewe