TRA wanalipaje hiki kitengo

Jiandae kutembea sana maana ni fieldwork hiyo, kuhusu mshahara inategemea na kiwango chako cha elimu (astashahada /diploma /certificate.

Hiyo kazi umepata ya kudumu au ni contract ya muda fulani tu?
Ni ya mkataba, unafanya kurenew baada ya muda fulani
 
KWAMBA HAMNA AMBAE ASHAFANYA HII ISSUE, NATAMANI NIMPATE ILI NIPETE VIVID DETAILS; WENGI MNAOCHANGIA HAPA SEEMS LIKE MNASKIA TU AU MPO VITENGO VINGINE ILA MNAFAHAMU MACHACHE KUHUSU, better nipate mtu aliye na experience juu ya hii issue niliyo iadreess.

KARIBUNI
 
Basi make sure ukianza, tengeneza source of income nyingine pembeni, hizi kazi za ku-renew mikataba huwa zina changamoto kimtindo.
Ni kweli ila kiuhalisia kila kitu kina changamoto, tunatofautiana tu namna ya kupokea,kuelewa, kusolve ama kusonga mbele
 
Ni kweli ila kiuhalisia kila kitu kina changamoto, tunatofautiana tu namna ya kupokea,kuelewa, kusolve ama kusonga mbele
Kazi za mkataba ni za kufanywa kwa mkakati haswa, maana mkataba unaweza kukata, kurenew ikawa kipengele.
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, hii ni kauli ya Rais, sasa nchi watakatifu bakini na utakatifu wenu ๐Ÿ˜‚.. sie acha tuibe
 
Kama unaona ushauri wa kipumbavu sawa, ila nchi yote ni wezi kuanzia namba 1 hadi namba ya mwisho
Waswahili wanasema kama umeamua kula nguruwe kula aliyenona. Na mimi nasema kama umeamua kuiba basi iba kiasi kikubwa cha kutikisa hisia za watu ili kwenye kesi uwe na uwezo wa kuweka wakili. Wezi wa hizi hela ndogondogo huwa ni kama wanaikera mahakama na kujikuta wanapigwa miaka ya kutosha jela. Kijana anayeanza kazi ninamshauri asiibe maana atatumika kama mfano ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Rais wako mwenyewe ni kielelzo, alisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, acha ujuaji mbung'o wewe
 
Exactly, malipo huwa yakoje Mkuu๐Ÿ™๐Ÿ™
Malipo ndo kama nilivyokwambia wanaweka chini wanaamini utapata zaidi ya iyo na kweli unaweza weza usitumie mshaala kabisa kama umepata halimashauri ukapangiwa labda kwenye choo cha kulipia unachangisha yani hapo umetoboa
 
Malipo ndo kama nilivyokwambia wanaweka chini wanaamini utapata zaidi ya iyo na kweli unaweza weza usitumie mshaala kabisa kama umepata halimashauri ukapangiwa labda kwenye choo cha kulipia unachangisha yani hapo umetoboa
Nakubali, sasa napataje ikiwa kila kitu kinaenda kielektroniki, I can guess kama si sokoni/masoko basi itakuwa stendi sema hizi za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ