Mshaala 250000Kazi ya zakayo...mtoza ushuru,jipange kutembea sana na kujua mitaa,nunua safari boot,cap...kama mweupe jipange kuwaa mweusi kama uko dar....utakuwa unachukua ushuru wa masoko,magari yq mizigo...choo cha hamashauri....kila laherii,jua sio tra
HehMshaala 250000
Show show muhimu kibunda mzee, mbona hajasema wanavyolipaKazi ya zakayo...mtoza ushuru,jipange kutembea sana na kujua mitaa,nunua safari boot,cap...kama mweupe jipange kuwaa mweusi kama uko dar....utakuwa unachukua ushuru wa masoko,magari yq mizigo...choo cha hamashauri....kila laherii,jua sio tra
Basi utapata mshahara wako stahiki.Degree
Kwa maelezo yao ntafanya kwa mkataba, kulipwa kama walioajiriwa na Gvt si rahisi, adv niliyo foresee ni kutengeneza chain nyingine tu lakini pia malipo ni fixed..mwisho wa mwezi unafika unajua utapata kiasi fulani.Basi utapata mshahara wako stahiki.
Vijana wengi wako jela kwa ushauri wa kipumbavu kama huu wako. Wizi wa hizi hela kidogo unapigwa mvua 20 ili iwe mfano kwa wengine.Ukiingia huko tengeza magape upige hela ufanye maisha yako, hii nchi watu wezi wameisha amua kuwa wezi
Ukiingia huko tengeza magape upige hela ufanye maisha yako, hii nchi watu wezi wameisha amua kuwa we
Mkuu hii si nzuri, for long-term survival, kumbuka nikifanya vizuri ndo kunaweza kunipa nafasi mi kupata nafasi nzuri, hizi tamaa ndogo ndogo ukitafakari kwa kina si njema kwa ustawi wangu, nkifanya any wrongful act automatically ntkuwa nimejifungia fursa nyingi zaidiUkiingia huko tengeza magape upige hela ufanye maisha yako, hii nchi watu wezi wameisha amua kuwa wezi
Kama unaona ushauri wa kipumbavu sawa, ila nchi yote ni wezi kuanzia namba 1 hadi namba ya mwishoVijana wengi wako jela kwa ushauri wa kipumbavu kama huu wako. Wizi wa hizi hela kidogo unapigwa mvua 20 ili iwe mfano kwa wengine.
Kajifunze kwa kina Steven Wasira, kina mama Samia, Kina Paul makonda na wengine neo chukua chako mapema sepaMkuu hii si nzuri, for long-term survival, kumbuka nikifanya vizuri ndo kunaweza kunipa nafasi mi kupata nafasi nzuri, uzi tamaa ndogo ndogo ukitafakari kwa kina si njema kwa ustawi wangu, nikijaribu hapo sehemu nyingi zinajifunga automatically
Masihara hayo mkuu, hiyo 250k ndio take home au na hapo bado kuna makato?Mshaala 250000
Akidakwa ajali kazini.Ukiingia huko tengeza magape upige hela ufanye maisha yako, hii nchi watu wezi wameisha amua kuwa wezi
Huyo anaajiliwa na halimashauri ya wilaya na huwaga ni contact ya kila mwaka kurenewMasihara hayo mkuu, hiyo 250k ndio take home au na hapo bado kuna makato?