TRA wanahujumu DHL,TNT, FEDEX?

TRA wanahujumu DHL,TNT, FEDEX?

Duh!kuna mzigo naleta wacha niwasikie na unione ujinga Wao,
 
Nina doc.za kutoa mizigo zimekwama Airport toka tar.10/02/2014 zipo airport nimehangaika DHL, TNT na FEDEX wanasema TRA wanakagua haingii akili bahasha yenye BL ikaguliwe wiki nzima na tena wiki inayo fuata kila nikiangalia kwenye mtandao naona Clearance event toka j3 mpaka leo kweli? Serikali ipo serious au mnataka kuyaua haya makampuni ya kusafirisha doc na vifurushi?

Kuna jamaa yangu bado anahangaika na kamzigo kake, karibia wiki 2 sasa wanamzingua, inaonyesha kuna ushirika kati ya hawa DHL na jamaa wa customs.

attachment.php
 

Attachments

  • DHL Tracking.jpg
    DHL Tracking.jpg
    96.9 KB · Views: 963
Mie nilichakuachua bei kule na jamaa wa Ulaya aseme nimenunua kwa bei ndogo sasa kivumbi kikaja jamaa akasahau akaweka na Doct original na ile kanjanja,,,ebana jamaa wa SwissPort na TRA walikomaa niwape Mi.2 huku na huku wakala Mi.1.2
 
kwa sasa fedex hawa operate kazi zao tanzania tena
 
Wadau tupeni mrejesho hayo madudu bado yapo mpaka sasaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom