SPY CATCHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 285
- 187
Ilikuwa kila mwezi wanatoa ripoti kwenye media za mapato au makusanyo yao ya Kodi na nakumbuka wezi wa 3 au 4 kama sijakosea walisema kuwa wamepata 1.3 trillion.
Sasa kimetokea nini? Mbona hawasemi mwezi uliopita wamekusanya kiasi gani? Je makusanyo yameshuka au yamepanda zaidi? Je wana maelezo yoyote yale kuonyesha sababu ya mapato kushuka au kupanda kwa hayo makusanyo? Wanaficha nini?