TRA wamefunga maduka mitaani na wanasema hawafungui hadi ununue machine ya EFD

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
790
1,265
Nahisi mafisadi wanazidi kuzikamata sector muhimu za serikali na kuziamrisha

Kinachoonekana ni njia ya kuhakikisha mzigo wa machine za EFD unaisha ili walete mzigo mwingine

Vigezo na mashariti kuhusu kuwa na machine za EFD kwa wafanya biashara vipo ila wamevufinika na kuwalazimisha watu wanunue machine za EFD wakati biashara zao hazina uwezo huo

Na kibaya zaidi waliofungiwa wote walikadiriwa kodi na TRA za wilaya zao na wanalipa kodi kila kota

Lakini hao wanaofunga maduka wanasema wao wanatoka HQ hivyo haijalisha wewe mfanya biashara una uhusiano gani na TRA ya wilaya yako

Nchi imekuwa ngumu sana na kwa mwenendo huu wapinzani wakijipanga vizuri watachukua nchi maana sidhani kama watu watapenda kuishi katika nchi yao kama wakimbizi
 
Weka application ya VFD kwenye simu yako kupitia authorised dealers uachane na hizo machine za laki 5
 
Nahisi mafisadi wanazidi kuzikamata sector muhimu za serikali na kuziamrisha

Kinachoonekana ni njia ya kuhakikisha mzigo wa machine za EFD unaisha ili walete mzigo mwingine

Vigezo na mashariti kuhusu kuwa na machine za EFD kwa wafanya biashara vipo ila wamevufinika na kuwalazimisha watu wanunue machine za EFD wakati biashara zao hazina uwezo huo

Na kibaya zaidi waliofungiwa wote walikadiriwa kodi na TRA za wilaya zao na wanalipa kodi kila kota

Lakini hao wanaofunga maduka wanasema wao wanatoka HQ hivyo haijalisha wewe mfanya biashara una uhusiano gani na TRA ya wilaya yako

Nchi imekuwa ngumu sana na kwa mwenendo huu wapinzani wakijipanga vizuri watachukua nchi maana sidhani kama watu watapenda kuishi katika nchi yao kama wakimbizi
Wapinzani watuchukua nchi kwa katiba gani na tume gani?. Hadi Leo hii bado haujui mfumo wa nchi yetu ulivyo? Namashaka na elimu yako, Kama kila awamu kura fake zinakamatwa unategemea Nini na wahusika wanaachwa?
 
Nahisi mafisadi wanazidi kuzikamata sector muhimu za serikali na kuziamrisha

Kinachoonekana ni njia ya kuhakikisha mzigo wa machine za EFD unaisha ili walete mzigo mwingine

Vigezo na mashariti kuhusu kuwa na machine za EFD kwa wafanya biashara vipo ila wamevufinika na kuwalazimisha watu wanunue machine za EFD wakati biashara zao hazina uwezo huo

Na kibaya zaidi waliofungiwa wote walikadiriwa kodi na TRA za wilaya zao na wanalipa kodi kila kota

Lakini hao wanaofunga maduka wanasema wao wanatoka HQ hivyo haijalisha wewe mfanya biashara una uhusiano gani na TRA ya wilaya yako

Nchi imekuwa ngumu sana na kwa mwenendo huu wapinzani wakijipanga vizuri watachukua nchi maana sidhani kama watu watapenda kuishi katika nchi yao kama wakimbizi
Ni kweli hapa kwetu mmbande mtaa mzima maduka yametiwa kofuli na TRA

Harufu ya ufisadi ipo kama sio wenye stock za EFD machine wanataka wamalize mzigo stoo basi itakuwa maofisa wa TRA wanataka kula kwa urefu wa kamba zao

Maana hayo maduka yaliyotiwa kofuli mauzo yao ni ya kawaida sana sasa hiyo laki 6 ya kununua machine watazipata wapi
 
  • Thanks
Reactions: ffn
Nahisi mafisadi wanazidi kuzikamata sector muhimu za serikali na kuziamrisha

Kinachoonekana ni njia ya kuhakikisha mzigo wa machine za EFD unaisha ili walete mzigo mwingine

Vigezo na mashariti kuhusu kuwa na machine za EFD kwa wafanya biashara vipo ila wamevufinika na kuwalazimisha watu wanunue machine za EFD wakati biashara zao hazina uwezo huo

Na kibaya zaidi waliofungiwa wote walikadiriwa kodi na TRA za wilaya zao na wanalipa kodi kila kota

Lakini hao wanaofunga maduka wanasema wao wanatoka HQ hivyo haijalisha wewe mfanya biashara una uhusiano gani na TRA ya wilaya yako

Nchi imekuwa ngumu sana na kwa mwenendo huu wapinzani wakijipanga vizuri watachukua nchi maana sidhani kama watu watapenda kuishi katika nchi yao kama wakimbizi
Lipeni Kodi acheni upuuzi,ulitaka wawachekee? Hao ni ajira mpya wako moto Sana.
 
Kuna mapato yatapotea,kwani wamekosa mbinu mbadala....Watakusanya nn sasa.
 
Nahisi mafisadi wanazidi kuzikamata sector muhimu za serikali na kuziamrisha

Kinachoonekana ni njia ya kuhakikisha mzigo wa machine za EFD unaisha ili walete mzigo mwingine

Vigezo na mashariti kuhusu kuwa na machine za EFD kwa wafanya biashara vipo ila wamevufinika na kuwalazimisha watu wanunue machine za EFD wakati biashara zao hazina uwezo huo

Na kibaya zaidi waliofungiwa wote walikadiriwa kodi na TRA za wilaya zao na wanalipa kodi kila kota

Lakini hao wanaofunga maduka wanasema wao wanatoka HQ hivyo haijalisha wewe mfanya biashara una uhusiano gani na TRA ya wilaya yako

Nchi imekuwa ngumu sana na kwa mwenendo huu wapinzani wakijipanga vizuri watachukua nchi maana sidhani kama watu watapenda kuishi katika nchi yao kama wakimbizi
Point yako Ni nn haswa?
 
Mwongo weweee. Sasa wafanyabiashara wanabembelezwa kulipa kodi halafu wewe eti wanalazimishwa kununua EFD?
 
Back
Top Bottom