Tra waapa kuthibiti mapato ya morocco vs taifa stars | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra waapa kuthibiti mapato ya morocco vs taifa stars

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 6, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 30,621
  Likes Received: 4,467
  Trophy Points: 280
  Wanandugu niko karume namwona kijana wangu hapa nimecheka mpaka basi...ikabidi niende msalani gafla kabla ya kukuta flagin nimewekewa kwenye meza nkawambia nyiee mi siumwi ila tanzania kuna mambo

  WALE VINARA WA RUSHWA TANZANIA TRA WAMEPELEKA BARUA RASMI KUTAKA WASHIRIKISHWE KWENYE KULINDA PESA ZA VIINGILIO ZITAKAZOPATIKANA..MTOA HABARI AMENIONYESHA WAZEE 4 WAKIWA NA VITAI VYAO KAMA WALE JAMAA WA BARABARANI TUNAOWAPAGA KUMI WAKIKUKUTA NA RL IMEISHA WAKASEMA JAMAA WAMEHISI KUNA MBINU CHAFU ZA KUTOPATA MATOKEO HALISI YA MAPATO HIVYO WAMEAMUA KUANZA NA CHANZO HALISI KINACHOPUNGUZA KILA SIKU MAPATO YA TFF

  NIMECHEKA MPAKA BASI JAMANI KAMA MTU ANAWEZA KUKURUHUSU ROADLICENSE YA SH 150,000 KWA SH 10,000 BADO SIJAELEWA HUYU MTU ATALINDAJE MAMILION YA FEDHA BILA KUFANYA DILI..ELSE HAWA WA MECHI YA TAIFA STARS WAWE WAMEZALIWA NA BIKIRA MARIA NINAEMJUA ..ANYWAY TENGA HAO AKUNA TOFAUTI NA MAKOMANDOO WA YANGA NA SIMBA WATCHOUT NAHISI TAKUKURU WANAITAJIKA PIA ILI HATA KAMA NI KUGAIANA MGAO UPIGWE CHENI NA SI KUTULETEA UPUUZI WAO WA BARABARANI KILA SIKU

  SWALI LANGU WATAKUWA MLANGONI WANALINDA KAMA NANI???
   
Loading...