TRA toeni ufafanuzi: Ninashindwa kuhakiki uhalali wa pombe hizi

mgungani

Member
May 13, 2022
38
60
Kila nikifanya scanning kulipia application ya hakiki stamp inagoma kuonyesha kwamba ni pombe feki, inatokea mara moja sana kupata pombe safi kwa upande wa K-Vant na Konyagi.

Je, ni kweli pombe feki ni nyingi kwa kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom