TRA,TFDA,TBS tazameni kwa makini hii pombe ya K-Vant

Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
Mkuu, umeandika lugha gani?

aina,auna, yameharibu maana ya habari yote
 
K-Vant wamejitahidi sana tofauti na Konyagi..
...Is better than... Not the best than...
Mnazungumzia kwenye nini labda.. Mbona mi izo K vant naonaga zinanimalia hela tu yani naweza kunywa muda wowote na kuendelea na shughuli zangu.. Ila KONYAGI daaah inasumbuaga Sana na ndo naipenda kuliko, walivyosema konyagi IKO MOJA TU walimaanisha vingi Sana labda hatukuwaelewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K vant ndio habari ya mjini kwa sasa, yan mkiwa wawili mkipiga donei chupa kubwa aah mnatoka vizuri
 
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
TRA anahusikaje?
 
Aina au haina tofauti?
Auna au hauna nguvu?
Naona imekupanchi mwili wote mpaka leo!
 
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
Angalia vizuri lebo imeandikwa not to be sold to person under 18yrs of age
 
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.

Pole. Sikiliza wimbo wa Mr. Ebbo, wenye maneno ya sitaki tena pombe.

Usiwe na roho ya kuharibu biashara na image za taasisi za watu.
 
Back
Top Bottom