TRA Tanga, nihurumieni jamani

TRA Tanga, nihurumieni jamani

andaa daftari la mauzo/huduma uliyotoa kwa kila siku then siku ya mwisho ikifika nenda nalo wambie tangu umefungua umeambulia hela hiyo tu so huna cha kulipa. WATAKUELEWA.
Please kama hutoweka kumbukumbu ya mauzo yako ya kila siku utapata tabu sana siku ya kulipa itapofika maana hawataki mdomo bali maandishi/records
 
Wakuu HV nikienda kuwaambia biashara imenishinda watanielewa kweli au bado watataka niwalipe nimekosa aman, hii nchi yetu jaman inakoendea mbona ....
ulikuwa na kiherehere cha kutaja mafigure makubwa mf 1/ mtaji ni sh ngapi ukasema 1M, y usiseme 2laki, 2/umeupata wapi wambie ni nusu mkopo na nusu nimepewa na familia ila ukasema kutoka katika ajira yangu, 3/ ofisi waambie ni nyumba yetu ya urithi ila we ulisema nimepanga ghorofa xo lazima upewe assumption kubwa, kabla ya kwenda TRA ulizeni kwanza
 
Back
Top Bottom