TRA Tanga, nihurumieni jamani

TRA Tanga, nihurumieni jamani

Acha uoga.
Kama huna we tulia tuliii.
Endelea kufanya biashara yako.
mpaka waje wenyewe.waone na mjadiliane.
Wakiifunga saloon basi.
kwanza kodi kutoa ni huruma tu ya wananchi.
serikali nayo ipambane na hali yake
Iwe na vyanzo vyake vya kujiingizia mapato.
 
Yaani wanenipa tin, alafu wakaniambia nikalipe asilimia 10, ya Kofi yangu ya mwaka mzima. Nikalipa elfu hamsini hapo hata cjafungua, nikamwambia ndugu yangu cjaanza hata biashara yenyewe hii pesa mliyonikadilia ntaitoa wapi?, wakasema Dada hiyo ndo kima cha chini kwa wenye biashara ndogo. Niliondoka TRA huku machozi yananitoka nikakaa home siku3 sijafungua nawaza nifanyaje alafu nilipo nisehemu ambayo haijachangamka kabisaaaa.
50,000? Kama hio ndio imekufanya ujje kufungua uzi wa malalamiko funga tu biashara.
 
Wakuu HV nikienda kuwaambia biashara imenishinda watanielewa kweli au bado watataka niwalipe nimekosa aman, hii nchi yetu jaman inakoendea mbona ....
Ongea na mwenyekiti wa mtaa akuandikie barua kuwa umefunga biashara yako hadi pale utakapowalisha tena kuwa umefungua. Wataluuliza kwa nini, waambie umeamua ukasome CBE kwanza
 
Wakuu HV nikienda kuwaambia biashara imenishinda watanielewa kweli au bado watataka niwalipe nimekosa aman, hii nchi yetu jaman inakoendea mbona ....
andika barua ya aidha kupungizwa kodi au kushindwa/kufunga biashara kutokana na changamoto mbali mbali, utaeleweka.
 
Wakuu hbr za w,Keend.
Aisee nimesota SNA kulogin jf cjui kwann imekua tabu SNA kuingia imebidi nifungue I'd nyingine ili nipate kuwasiliana na marafiki zangu. Aiseee nimewamiss mno.

Turudi kwenye mada
Wakuu nimeamua kujichanga nimefungua biashara yangu ya salon ya kike, japo salon yenyewe ni yakawaida SNA Nina binti anajua kusuka SNA nikaona ngoja nimuekee hata drayer moja, wakija wakuosha awe anawakausha.

Basi bwana nikasema ngoja niende TRA nikapate tin no, ndo kasheshe lilipoanzia wamenikadilia kodi kubwa na inabidi niilipe kabla ya tar30 DEC.

Wakuu nimechanganyikiwa mpaka sasa cjapata hata mteja wa kuosha zaidi ya wale wanaosuka nywele za mkono.

Nawaza cjui nirudishe hiyo TIN no yao nifunge biashara maana watanifunga jamani.

Naomba ushaur nifanyaje jaman
Kuna watu wawili wanaweza kukuelewa na kukusaidia!
1. Afisa elimu wa kodi yuko hapo ofisini.
2. Meneja wa mkoa!
Ni waelewa mno, nenda kwa meneja moja kwa moja umweleze haya uliyosema!
 
Kwani ukifunga biashara ukaanza kuuza vitumbua watakuja kukuuliza...watakupatia wapi...
Watakuja kukukamata tu watakuja kuona malimbikizo makubwa ya kodi, ukija kufungua biashara nyingne utaendelea kutumia ile TIN No, mwisho wa siku utakuja kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Anacho takiwa kufanya ni kutuma barua TRA ya kufunga biashara
 
Kwanza twende Pale Mwembeni (PM) ukaniambie I'd yako ya zamani
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom