TRA Tanga ni majasusi

TRA Tanga ni majasusi

Ila watz tuna nn hatupendi kufuata sheria tukikutwa na vimeo tunaanza lalamika. Hapo jirani Rwanda hadi shoe shine ana EFD MACHINE kosa upewe huduma usiombe risiti utajuta siku iyo. Fata sheria ua kubali kipigo. TRA ingekuwa jeshi kamili tuu ili tulipe kodi
Usipende kuanya hearsay stories kuwa mainstream, Rwanda ipi unayoongelea ambapo shoe shiner ana efd?
 
kwanza toa neno majasusi kwenye heading
pili, lipa kodi, short cuts hazifai
 
Alie wauzia nahisi ndio kaenda kuwachoma pia,,au kuna mkuda mwingine katombesha wenzie tena unaweza kuta ni bodaboda mwenzao!!
 
Wakili mzuri ndiyo yukoje!? TRA kazowea kupokea,Leo hii yeye ndiyo alipe fidia!? Thubutu! Kumbuka hatuko ulaya,tuko Tanzania!!
Hapo kuna ethics za kazi zimekiukwa , na hiyo ni kosa la mtu binafsi , anaweza asilipwe fidia ila kuna wafanyakazi wa Tra watawajibishwa
 
Sasa tanga mkuu hao si mna malizana nao wote kabisa bila shida yoyote .adondoke mmoja mmoja tu hii nchi watu wame choka kuishi amna budi kuwa safirisha
 
Back
Top Bottom