TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
teh teh unyakyusa unakuponza mkuu?
kweli mkuu wakiona Mwa... basi napoteza sifa
teh teh unyakyusa unakuponza mkuu?
Ngoja mkurugenzi wa tra aondoke abadili mnyakyusa ndipo nionbe
Mwenye update zozote kuhusu post za tra???naskia wametuma emails kwa wataoenda kwa written interview any update plzz
Ndo tatizo la Watu kutoka mlimani wanapendeleana na kusaidiana hadi Raha.
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli!
Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!
ni-PM umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu
ni-PM umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu
ukabila upo lakini umepungua kwa kiasi kikubwa, nichukue nafasi hii niwakumbushe msikatishwe tamaa
ndugu zangu mjiandae vya kutosha hapo msimbazi centre mnaweza mkawa hata zaidi ya mia tatu, mtafanya
aptitude test....
Ambayo itakuwa na maswali yanayohusu tra in general, vision, mission, objectives,hasa ktk oral,
maswali ya hesabu, english, vat calculation, types of taxes. Sana sana waulize waliowahi kufanya interview ya hiyo post
kwani huwa wana tabia ya kurudia maswali. Lakini najua wengi watapaniki ktk hesabu na ktk vat calculation, niwashauri tena maswali yanaweza yakawa 60 na vipengele zaidi ya vitatu muda ni saa moja, hivyo jaribu kufanya maswali unayoweza kwa speed ya light(3x100000000m/s) ili uweze kufaulu,,,,ukifanya usiondoke kesho cheki matokeo kisha jiandae oral,.................mungu ni muweza>...........................
TRA washaanza kazi,,,,hiyo interview ni zuga tu
nimepata mwanga asante mkuu
Fukara... ulipiga mwaka jana nn?
Fukara.... I hope now you are in a better position.. vp unaweza ukawa na desa (past tra test)