TRA Posta DSM acheni kuwaibia wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA Posta DSM acheni kuwaibia wananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 28, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana JF
  kuna jamaa wa TRA pale posta mpya Dar-es-salaam,wao kazi yao ni kuangalia mizigo inayotoka nje ya Tanzania

  chakushangaza ni kwamba nina jamaa yangu alituma zawadi kutoka China kama ifuatavyo
  1.Viatu vya kike 2 jozi
  2.headphone
  3.wallet moja
  4.bag la kike moja

  sasa hawa jamaa ilibidi wamtoze mama wa jamaa TSH 100000,baada ya mama kuwaeleza kuwa hana hizo pesa,basi TRA wakamweleza atoe 50000 na kweli mwisho wa siku mama alitoa pesa hiyo na kupewa mzigo wake ambao ulitumwa kwa njia ya posta toka china

  wana jf ni halali kweli kwa TRA kutoza kodi kwa vitu ambavyo si biashara? na kama ni halali iweje ipungue kutoka 100000 hadi 50000?
   
 2. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Weka kwanza kiambatanisho za stakabadhi ya malipo ya Tsh 50,000/= cha TRA ndipo tujadili
   
Loading...