Fikra mlazo
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 237
- 37
Aise., basi tuwapongeze wale waliopata., nasisi tuliokosa wakati huu tuendelee kuitafuta nafasi ambayo ipo kwaajili yetu mahali pengine kwa vyovyote! hongereni sana.,
Oya hivi ndo wamemaliza kupiga simu? jamani mwenye taarifa ya uhakika atuambie ni vipi wanapiga na kesho ama tayari wamemaliza???????
lets wait,so usipopigiwa simu no need kwenda posta?
hiv wameanza lini kuita,na je inawezekana watu wote kuitwa kwa siku moja?
huo ndio ukweli mtupu ndugu fikra mlazo,sio upotoshaji,,,wameita leo wamemamliza assistant tax officers,mpe pole rafikiyako mwambie there is always next time asikate tamaa
taarifa kamili ni hizi hapa
wameita jumla ya watu 72 tuu,na hao watu 72 wanatakiwa wafike kesho makao makuu ya tra saanne asubuhi kuchukua barua zao,na hao 72 wote wamepigiwa wamepokea simu na wamepewa taarifa.......asanteni,tukutane kesho saanne asubuhi
Mlioitwa,training lini or job direct?
Jaman tra bdo wanaita watu,don't loose hope
Isije ikawa ni wale wa Preventive Assistant!
Ofcoz wa preventiv wameanza kupgiwa jana,jamaa angu wa prev kapgiwa na wengnda wa tax ofsa wamepgiwa pia,zoez linaendelea bila shaka.Tuombe Mungu 2