Majamaaa, meskia skia kwa mbali sana kua hawa majamaa wameanza kuita. So kila mwenye mdau aliye kua awasiliane kama hilo limetokea kisha tupate habari kama kuna habari kama hyo huko kwa roots!

DAAH, mi mwenyewe pia nimeskia mtu wamempigia simu wakamuuliza vipi mbona hajaweka box, then akawatajia box lake. so mwenye taarifa ya uhakika zaidi please atueleze wana jamii forum.

Yaaani we fikra mlazo ama kweli fikra zako mlazo yani, watu tupo serious we unatuleleta utani bana hahahaaaa....sasa ukachongeshe funguo mpya kabisa kabla hawajampa mwingine hizo nafasi