Tra:nimeamini kwamba serikali haina pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra:nimeamini kwamba serikali haina pesa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mnwele, Aug 1, 2011.

 1. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakati TRA ilipozindua mfumo mpya wa ukadiriaji magari yaliyotumika yanayoingizwa kutoka nje, kulikuwa na malalamiko mengi sana.
  Baadhi ya hoja zilizoletwa ni kwamba serikali imeamuru TRA wafanye liwalo na liwe kupata pesa zaidi kwa ajili ya matumizi yake. Hii ilitoa picha kwamba labda serikali haina pesa za akiba. Niliamini nusu nusu!
  Kwa vile nilikuwa nimeagiza gari na ilikuwa njiani kuja, nilijipeleka mwenyewe pale Sabasaba kwenye banda lao.
  Ofisa aliyenihudumia alinielewesha namna ukadiriaji mpya ulivyo, na kwamba this time around TRA hawahitaji mtu ( mkadiriaji) maana system iko automated. Tulifanya hesabu inayoendana na gari yangu ambayo ni DUET 2002, cc 1000; na kuonyesha nitatakiwa kulipa TZ 1.9 ( Kodi tu).
  Leo, ajabu na kweli, wakati gari ikiwa inakaribia kutinga Dar, TRA wamekuja na story mpya.
  Eti kwa sabau inaonekana nitalipa kidogo, wameamua kurudisha mfumo ule wa Zamani nakutakiwa kulipa 2.4m(Kodi tu)
  Wametumia CIF na kuanza kufanya calculations.
  NImeuumia na nimegundua kweli serikali hii sio ya wanyonge,
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Duh pole. Si kwamba wameicha nyia ya zamani....kama njia ya zamani (kuangalia CIF halisi) inwapa kodi kubwa kuliko njia mpya (based on current retial price), basi wanatumia njia ya zamani. Kama ulivyosema its all about maney na hakuna justice. Ingependeza zaidi wawe consistent kwa njia mojawapo na sio hii ya kuviziana.
   
Loading...