bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Si kwamba huruhusiwi kujenga, unapojenga nyumba 10 ni za nn na hizo fedha unatoa wapi? Unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha source yako ya income. Tuache ubadhirifu, nyumba 5,10 ,20..za nn zote hzo??
Watz hapana yan tunataka mfanyakaz wa shirika kama TRA nae asubir hela Ya kustaafia ndo ajenge ? hata tungekuwa wajamaa hii isinge wezekana....Tupunguze wizu tupige kazi mngeyajua yanayotokea kwa watu wa halmashaur nahisi mngezimia kabisaa
Kujenga siyo tatizo,tatizo unakuta mtu ana miaka 2 kazini alafu ana nyumba 5 za kifahari sasa swali ni je hizo pesa kazitoa wapi?alafu unakuta hana mkopo hata senti moja
Wakati mwingine umasikini huleta husda, wivu na uonevu.
Mfanyakazi wa TRA kujenga sio dhambi hata nyumba ziwe 1,000. Lililo muhimu ni kuona je kipato chake na cha familia kinaendana na Mali alizonazo.
Tanzania Kuna fursa nyingi hasa kwa watu wenye kufikiri na wenye "kianzio". Mishahara yao inawapa fursa ya kukopa mikopo "minono" kwenye taasisi za kifedha.
Wamerikani na Waingereza wana tofauti kwenye figures zinazo represent billion na trillion kwa hiyo husimlahumu sana mleta figures maanake hatujui anazungumzia figures za Merikani au Uingereza.Kiongozi, 25x100m haiwezi kufika 2.5 trillion. Shughulisha tena akiliyako.
Nyumba 25@100m= 2.5trillion.haitakuwa na justification.
Nyumba 25@100m= 2.5trillion.haitakuwa na justification.
Wewe ndiyo Mtafya au Masamaki?Watz hapana yan tunataka mfanyakaz wa shirika kama TRA nae asubir hela Ya kustaafia ndo ajenge ? hata tungekuwa wajamaa hii isinge wezekana....Tupunguze wizu tupige kazi mngeyajua yanayotokea kwa watu wa halmashaur nahisi mngezimia kabisaa
Nchi hii utadhani imepata UHURU tarehe 25 Oktoba, 2015. Maana mambo yaliyokuwa yanafanyika huwezi amini kama nchi hii ilikuwa na serikali. Acha Magufuli afute sherehe za Uhuru maana ndiyo kwanza nchi yetu haijafikisha hata mwaka mmoja toka tupate Ukombozi sasa sherehe za nini......