Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mzee kuna namba za TRA unapiga chap wanakuja, tena TRA wanavoogopeka kuliko hata police[emoji23][emoji23].Nimenunua simu juzi nikadai reset,jamaa wa pembeni akammaindi mwenzie eti awaulize wateja kwanza kama ni jumla au rejareja,kwa madai nimeuziwa jumla kwa simu moja hivyo no reset,tena kwa kuvimba kabisaaa na kakasirika hatari mpaka nimeogopa...
Kuna dada mmoja hv ni rfk yangu yuko Moro aliagza Tv online ikaenda haina risit na mbovu akaja Dar kudai wakawa wanamzingua. Akaenda TRA wale jamaa bhana wakaenda dukani unaambiwa jamaa alifyata alikua ananatetemeka wakampa offence na TV ikabadilishwa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]