TRA ni kiboko sasa

TRA ni kiboko sasa

Poleni sana...

Inabidi mbadilishe utaratibu...

Hotel nyingi sana kama siyo zote, ukishafanya booking unalipia kabisa hizo siku ulizosema utakaa hapo hotelini na receipt unapata, endapo utaongeza siku, unatoa taarifa na kulipia tena...

Katika hotel zote nilizokwisha kaa, sijawahi ona ambayo unalipia siku ya ku-check out... extra services zozote ulizotumia ndiyo bill unapewa siku ya kutoka, kama ulitumia simu, ulitumia vinywaji ulivyokuta kwenye friji...

Cc: mahondaw
Nimekuelewa ila mi naona wangetowa au tangaza kuwa utaratibu ni huu ili hata wateja waliozowea kulipa siku ya kuondoka wawe wanaelewa kuwa ni kulipa kwanza maana kuna waliozowea vingine
 
Wewe wamekuweza maana ulikuwa unataka kuwadanganya eti wateja hulipa siku wanaondoka? Hotel ya wapi hiyo? Mkwepa kodi mkubwa wewe!
kuna guest house ukiwa mteja wa siku nyingi unalipa siku ya kuondoka
 
Sio kweli hotel zote unalipa ndio upate chumba cha hadhi ya pesa yako sasa utaendaje tu chumbani bila kujua bei na kulipia!
 
Nimekuelewa ila mi naona wangetowa au tangaza kuwa utaratibu ni huu ili hata wateja waliozowea kulipa siku ya kuondoka wawe wanaelewa kuwa ni kulipa kwanza maana kuna waliozowea vingine

Kwa utaratibu wenu, mtu anaweza kukaa wiki nzima siku ya ku-check out akasema hana pesa, mtafanya nini?

Cc: mahondaw
 
UKWELI KUHUSU TRA
1.TRA sasa hivi wanadiscourage watu wengi kufunga biashara kwa sababu ya kufanya kazi kiuadui.
2.Maafisa biashara wamekuwa kero katika kutoa leseni za biashara kwa kuwa wanataka rushwa kwa hali na mali na ushahidi upo
3.Tutegemee biashara nyingi kufungwa iwapo kama TRA wataendelea na tabia yao hii ya kufanya kazi kwa uadui
 
Lipa kodi acha usanii...hivi unataka kusema wewe ni mfanyabiashara honest ambaye unatoa risiti kwa kila huduma?
 
kulala Hotelini au guest ni mara chache sana wateja kulipa siku ya kutoka. Huo ujanja wa wafanya biashara. Toeni risiti na kuwaandikisha wateja ili serikali ipate kodi yake halali.
 
Nijuavyo hoteli zile kubwa za kitalii ndio hutumia utaratibu huo, na sababu mara nyingi hutegemei Mtalii azengue wakati wa kutoka.

Pia Mgeni/Mtalii hutarajiwa kutumia huduma nyingine zinazopatikana hapo Hotelini, kama msosi, vinywaji, GYM kama ipo, intarnet cafe, kufua nguo n.k...na mwishoni ndio hupewa mahesabu yake na Mtu anaingia mfukoni au anatoa kadi yake anamaliza.

Mtalii/Mgeni anapoingia na amechoka, utajitahidi kuonyesha hospitality kadri uwezavyo...hii ni pamoja na kumpa chumba haraka bila kumbugudhi.
 
UKWELI KUHUSU TRA
1.TRA sasa hivi wanadiscourage watu wengi kufunga biashara kwa sababu ya kufanya kazi kiuadui.
2.Maafisa biashara wamekuwa kero katika kutoa leseni za biashara kwa kuwa wanataka rushwa kwa hali na mali na ushahidi upo
3.Tutegemee biashara nyingi kufungwa iwapo kama TRA wataendelea na tabia yao hii ya kufanya kazi kwa uadui
Wafanyabiashara wanalielewa hili wasioelewa utakuta wana comment ujinga humu..umesema ukweli
 
Huu ni urongoooo!
Hotelini ulale kisha ulipe asubuhi? Sijawahi kuona. Hiyo hoteli iko wapi?
Lipa kodi wewe bila shurti tujenge vi-wonder na reli!
Nalipa ningekuwa silipi wangekwisha funga hoteli yangu stillll open!
 
Hotel kubwa kuanzia 3 star unalipa baada, wateja ni waaminifu na unajitahidi kuwakarimu.
 
Wewe wamekuweza maana ulikuwa unataka kuwadanganya eti wateja hulipa siku wanaondoka? Hotel ya wapi hiyo? Mkwepa kodi mkubwa wewe!
Jamani ni kweli hotel nyingi sana kama unakaa zaidi ya siku moja unaweza kulipa siku ya mwisho unapoondoka.

Nimesafiri mikoa mingi tu hapahapa Tanzania na nimekua nalipa siku ya mwisho ninapoondoka.

Labda kama ni Guest house lakini kwa hotel hiyo kawaida sana.
 
Mbona kuna kibao kimeandikwa "LIPA KWANZA?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom