TRA Nafasi za July

TRA Nafasi za July

Whitedent

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
45
Reaction score
4
ndugu zangu ningependa kujua kama TRA walishaajili zile nafasi za tax officers na custom officers
 
wameeanza kuita leo jioni usicheze mbali na mchina wako aisee
ni nafasi za april 2014 wameshatuma email ya invitation to written interview 12 december at diamond jubilee hall
 
First wanakutumia invitation letter in yo email kisha watakupigia simu kuconfirm nawe....mim nimepigiwa leo jioni around saa moja usiku....get prepared to receiv their cal kama ulifanya application!!
 
Hawajaita,acheni kutia watu presha

Mkuu kwel wameanza kupiga simu leo hata mimi nimepata simu yao leo ila nikaambiwa Invitation letter inatumwa kwenye email na ninapaswa kuwa nayo tarehe 12 december 14 diamond jubilee saa moja asbh for interview. So vuta subira unaweza kupigiwa jtatu
 
Kwa walipigiwa namba inaishia ngapi? Maana nimeona missed call namba ya ttcl, napiga haipokelewi, isije ikawa ndo hao jamaa
 
Kwa walipigiwa namba inaishia ngapi? Maana nimeona missed call namba ya ttcl, napiga haipokelewi, isije ikawa ndo hao jamaa

Ilonipigia Mimi imeishia na 506 , Bt email sijapata Bado though alisema wameshatuma mail
 
aSANTE KWA INFO HIZO, WALIVYOKUPIGIA SIMU WAMEKUPA MAELEKEZO GANI MENGINE?
 
Back
Top Bottom