mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,698
- 9,051
Mimi wamenipigia na wakasema invitation letter imetumwa kwenye email lakin bado sijapata email sasa sijui nifanyeje???
Mkuu nipe wapi nipitie pitie this time I have to get this job
Mimi wamenipigia na wakasema invitation letter imetumwa kwenye email lakin bado sijapata email sasa sijui nifanyeje???
Wamenipigia maelezo yote ya muhimu yapo ktk email waliyotuma kuwa uende na kitu gani
Kwa walipigiwa namba inaishia ngapi? Maana nimeona missed call namba ya ttcl, napiga haipokelewi, isije ikawa ndo hao jamaa
aSANTE KWA INFO HIZO, WALIVYOKUPIGIA SIMU WAMEKUPA MAELEKEZO GANI MENGINE?
Hawa TRA wanaleta siri pasipohitaj usiri
weka majina kwa mtandao na.magazeti
weka maelekezo wapigie.watu simu
wasio na email address.maana yake hawana.sifa?
Dunia hii ya utandawazi??..be seriousHawa TRA wanaleta siri pasipohitaj usiri
weka majina kwa mtandao na.magazeti
weka maelekezo wapigie.watu simu
wasio na email address.maana yake hawana.sifa?