TRA na wizi wa Ushuru

lastman

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
402
226
Ndugu wana forum,

Kutoka hizi siku za Magufuli za kimbiza kimbiza bandarini nimesha kutana na matatizo 2 yakuta kuibiwa ushuru na moja nikaibiwa ya kwanza ni kontena langu la spear, ambalo lilifanyiwa assessment Mara 3..
- Mara ya kwanza niliambiwa ni 28m
- Mara ya pili nikaambiwa 33m
- Na mara ya tatu ni 37m..

Na nyengine nimeagiza gari nikapata assessment ya million 6.3 kutoka TRA na price calculator in onyesha 5.8, nika lipa 6.3, wakati agent anaenda kutoa gari, waka kataaa wana sema natakiwa nilipe million 8.2 ...

Tunaenda kuripoti wapi hizi hujuma?
Watu wameiba pesa wanataka kuzilipa kwa migongo ya wanyonge..
 
Last edited by a moderator:
pole ushuru wa magari uko wazi na agent ndio kazi yke kuripoti kma wamepandisha ushuru wa gari
 
Huenda agent wako ndo kakufanyia uhun akishirikiana na hao Tra
 
Back
Top Bottom